Huu ni Ushetani. BASATA mko wapi!?

Huu ni Ushetani. BASATA mko wapi!?

Alo ukilitizama kwa mapana, masuala ya utandawazi na mitandao ya kijamii hili ni janga kweli.

Linahitaji ushilikiano, wasilaumiwe BASATA tu, zitumike njia za aina utofauti tofauti kulikabili hili suala, Itergrated Ethical Community Management System (IECMS), Yaani kila mtu/Taasisi itimize wajibu wake kuanzia ngazi ya familia.
Manyimbo yao ya mtoto kautaka, paka mate iteleze watoto wanasikiliza huku mtaani

mtoto wako mdogo umeampaa simu aaangalie katuni YouTube unategemea nini

mtoto wako mdogo umempa simu yako aangalie katuni YouTube unategemea nini?siumesema usiku ndo wanafanya ....? jitahidi utumie akili mabula ya kuongea

Hapo sio night club mkuu... Uwanja wa mpira wa Ruangwa...
Yamepandikizwa mapepo hapo Rasmi ya Wasafi
 
Hapo ni wazi kabisa waliofeli ni wazazi na BAKWATA siyo BASATA.

Huo ni mtazamo wangu binafsi kama Muislam, simwakilishi mtu au chombo kingine chochote.

Kwanini naiondolea lawama BASATA? kwa sababu BASATA ni chombo cha serikali pagani. Kumbuka kuwa serikali yetu ni pagani kwa maana haifati dini yoyote ile.

Kwa maana hiyo namuondolea lawama hata waziri husika.

Kwa bahatri mbaya au nzuri bakwata wanahusika na kusoma dua tu kwenye hafla za chama na serikali iliyopo madarakani, mengine ya mmaadili ya Kiislam hawana jukumu nayo na wala hawayafanyi.
Tunaheshimu mtazamo wako ila hatukubaliani nao kwa asilimia zote.
 
Hapo ni wazi kabisa waliofeli ni wazazi na BAKWATA siyo BASATA.

Huo ni mtazamo wangu binafsi kama Muislam, simwakilishi mtu au chombo kingine chochote.

Kwanini naiondolea lawama BASATA? kwa sababu BASATA ni chombo cha serikali pagani. Kumbuka kuwa serikali yetu ni pagani kwa maana haifati dini yoyote ile.

Kwa maana hiyo namuondolea lawama hata waziri husika.

Kwa bahatri mbaya au nzuri bakwata wanahusika na kusoma dua tu kwenye hafla za chama na serikali iliyopo madarakani, mengine ya mmaadili ya Kiislam hawana jukumu nayo na wala hawayafanyi.
Hamia Iran au Afghanistan
 
Mzee acha ushamba title ume weka ya kutisha halafu hakuna cha ajabu au una muonea wivu zuchu? Dambua basi na ww tuone uto tu tako twako tulivo pandiana kama vitunguu
Una hoja usikilizwe binafsi nilifikiri sijui jambo gani la ajabu limetokea,,ebu atuombe radhi fasta
 
Back
Top Bottom