Huu ni Ushetani. BASATA mko wapi!?

Huu ni Ushetani. BASATA mko wapi!?

Hapo ni wazi kabisa waliofeli ni wazazi na BAKWATA siyo BASATA.

Huo ni mtazamo wangu binafsi kama Muislam, simwakilishi mtu au chombo kingine chochote.

Kwanini naiondolea lawama BASATA? kwa sababu BASATA ni chombo cha serikali pagani. Kumbuka kuwa serikali yetu ni pagani kwa maana haifati dini yoyote ile.

Kwa maana hiyo namuondolea lawama hata waziri husika.

Kwa bahatri mbaya au nzuri bakwata wanahusika na kusoma dua tu kwenye hafla za chama na serikali iliyopo madarakani, mengine ya mmaadili ya Kiislam hawana jukumu nayo na wala hawayafanyi.
 
Back
Top Bottom