goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,079
- 1,406
Mwanzoni wazazi wake walikuwa wakimwadhibu sana lakini sasa hawamchapi ila wanamnasihi sana. Ila baada ya hapo anachokifanya ni kinyume chakeHuyo mtoto anahitaji ushauri nasaha. Pia maombi ni muhimu sana kwa vizazi vyetu
Shida iko kwenye malezi trust me... Anapaswa kusikilizwa na mtu atakayemuonesha heshima upendo na kujali.. Kuna mengi atafungukaNi mtoto wa jamaa yangu. Huyu kijana ana miaka 12 tu ila amemtoa jasho jembamba jamaa yangu . Mtoto alianza kwa kukataa shule akienda shuleni anaishia kujificha anakuwa hafiki. Alipogundulika kuwa hafiki shule akatoroka nyumbani. Ameishi kwa kujificha ficha huko mitaani huku akitafutwa takribani wiki alipopatikana akatorokea kwa bibi yake.
Ikabidi ahamishiwe huko kimasomo lakini mwendo umekuwa ule ule tu. Mtoto akifanya makosa huondoka nyumbani na kwenda kuishi mitaani huku akiomba omba chakula kama asiye na wazazi
Aliwahi kupelekwa polisi kama kumtisha ili atulie ni kweli alitulia lakini baada ya kama wiki moja mwendo ukawa ni ule ule.
Ndugu wengine wame connect na imani za kishirikina kwamba mtoto amechezewa. Anaweza aondoke nyumbani kwa kufanya makosa au kwa hiari na kurudi ni mpaka atafutwe. Na akirudi atajituliza siku 2 au 3 na ataanza tena
Kama ni WA kiume wamwache tu,ataacha akikua,atajua Nini maana ya mwanaumeNi mtoto wa jamaa yangu. Huyu kijana ana miaka 12 tu ila amemtoa jasho jembamba jamaa yangu . Mtoto alianza kwa kukataa shule akienda shuleni anaishia kujificha anakuwa hafiki. Alipogundulika kuwa hafiki shule akatoroka nyumbani. Ameishi kwa kujificha ficha huko mitaani huku akitafutwa takribani wiki alipopatikana akatorokea kwa bibi yake.
Ikabidi ahamishiwe huko kimasomo lakini mwendo umekuwa ule ule tu. Mtoto akifanya makosa huondoka nyumbani na kwenda kuishi mitaani huku akiomba omba chakula kama asiye na wazazi
Aliwahi kupelekwa polisi kama kumtisha ili atulie ni kweli alitulia lakini baada ya kama wiki moja mwendo ukawa ni ule ule.
Ndugu wengine wame connect na imani za kishirikina kwamba mtoto amechezewa. Anaweza aondoke nyumbani kwa kufanya makosa au kwa hiari na kurudi ni mpaka atafutwe. Na akirudi atajituliza siku 2 au 3 na ataanza tena
Ni wa kiume. Unamaanisha wamwache aendelee kulanda landa mitaaniKama ni WA kiume wamwache tu,ataacha akikua,atajua Nini maana ya mwanaume
Baba yake ni rafiki yangu. Dawa gani hiyo ya kumsaidianiNa dawa wewe nan ake kwanza
Mmemlea vibaya acha bomu liwalipukie hilo !! Umri wa kumshape mtoto ni akiwa mdogo sio kwa fimbo au adhabu hata kwa kuelekezana tu kawaidaNi mtoto wa jamaa yangu. Huyu kijana ana miaka 12 tu ila amemtoa jasho jembamba jamaa yangu . Mtoto alianza kwa kukataa shule akienda shuleni anaishia kujificha anakuwa hafiki. Alipogundulika kuwa hafiki shule akatoroka nyumbani. Ameishi kwa kujificha ficha huko mitaani huku akitafutwa takribani wiki alipopatikana akatorokea kwa bibi yake.
Ikabidi ahamishiwe huko kimasomo lakini mwendo umekuwa ule ule tu. Mtoto akifanya makosa huondoka nyumbani na kwenda kuishi mitaani huku akiomba omba chakula kama asiye na wazazi
Aliwahi kupelekwa polisi kama kumtisha ili atulie ni kweli alitulia lakini baada ya kama wiki moja mwendo ukawa ni ule ule.
Ndugu wengine wame connect na imani za kishirikina kwamba mtoto amechezewa. Anaweza aondoke nyumbani kwa kufanya makosa au kwa hiari na kurudi ni mpaka atafutwe. Na akirudi atajituliza siku 2 au 3 na ataanza tena
Ndiyo,km ameshindikana polisi wafanyeje Sasa,Dunia ni mwalimu wa piliNi wa kiume. Unamaanisha wamwache aendelee kulanda landa mitaani
Ni kweli wapo watukutu wa kaliba yake hapo mtaani lakini cha kushangaza mbona hao wengine pamoja na utukutu wao wapo wanaishi makwaoWazazi wanaishi mitaa gani?
Kuna mitaa ishaharibika sana, ukiona una mtoto mdogo we jua kama mtaa una wavuta bange wengi, basi mtoto ata adopt tu pia, kama mtaa una ma-lodge mengi, mtoto atazoea kuona hayo nambo, na atayaanza akiwa mdogo.
Inawezekana ni kweli maana siku hizi malezi ya watoto yamekuwa na changamoto nyingi sanaMmemlea vibaya acha bomu liwalipukie hilo !! Umri wa kumshape mtoto ni akiwa mdogo sio kwa fimbo au adhabu hata kwa kuelekezana tu kawaida
Huenda huyu wa kwenu mlikua mnamwachia akifanya maujinga au mnampiga kupitiliza
Mwanzo nilisoma heading nikataka kukoment kwamba usikute ana AUTISM (usonji ) 😂😂 maana watoto wa design hii wazazi huwa wanawapiga sana bila kujua ni aina ya ulemavu !!
Ila matukio ya huyo janja hilo ni zao mliloliengeneza wenyewe ! Pambaneni arudi tu kwenye mfumo japo mnapoelekea mtapandishana kisukari
dawa ni Imani sio madawa haya unayojua wewe uyo yupo kifungoni kwa iyo inatakiwa mtu mwenye imani ndio wa kimfungua sio kila anayetamka neno tu IMANI YA KUGUNGUA VIFUNGO VYA UMASIKINI NI MTU MMOJA UKIMWAMINI NDIYE ATAFUNGUA YESU ALIYERUDI KWA JINA JIPYA LA OLUMBA OLUMBA OBU .....HAKIKA ATAFUNGULIWA KWA KUWA JINA LAKE NI NGUVU TOSHA NENDA KAFANYE MSHIKE KICHWANI UKIMSHUKURU MUNGU OMBA MSAMAHA WA DHAMBI MUOMBEE KWA JINA HILO ATAFUNGULIWABaba yake ni rafiki yangu. Dawa gani hiyo ya kumsaidia
dawa ni Imani sio madawa haya unayojua wewe uyo yupo kifungoni kwa iyo inatakiwa mtu mwenye imani ndio wa kimfungua sio kila anayetamka neno tu IMANI YA KUGUNGUA VIFUNGO VYA UMASIKINI NI MTU MMOJA UKIMWAMINI NDIYE ATAFUNGUA YESU ALIYERUDI KWA JINA JIPYA LA OLUMBA OLUMBA OBU .....HAKIKA ATAFUNGULIWA KWA KUWA JINA LAKE NI NGUVU TOSHA NENDA KAFANYE MSHIKE KICHWANI UKIMSHUKURU MUNGU OMBA MSAMAHA WA DHAMBI MUOMBEE KWA JINA HILO ATAFUNGULIWA
Asante mkuu. nipatapo nafasi ya kuonana nae nitafanya hivyodawa ni Imani sio madawa haya unayojua wewe uyo yupo kifungoni kwa iyo inatakiwa mtu mwenye imani ndio wa kimfungua sio kila anayetamka neno tu IMANI YA KUGUNGUA VIFUNGO VYA UMASIKINI NI MTU MMOJA UKIMWAMINI NDIYE ATAFUNGUA YESU ALIYERUDI KWA JINA JIPYA LA OLUMBA OLUMBA OBU .....HAKIKA ATAFUNGULIWA KWA KUWA JINA LAKE NI NGUVU TOSHA NENDA KAFANYE MSHIKE KICHWANI UKIMSHUKURU MUNGU OMBA MSAMAHA WA DHAMBI MUOMBEE KWA JINA HILO ATAFUNGULIWA
OLUMBA OLUMBA OBU ......... ACHANA NA MAWAZO YA KIDINI MUNGU SIO DINI MUNGU NI UPENDO TUMIA JINA HILI LINA NGUVU SANA KULIKO UNAVYOJUAAsante mkuu. nipatapo nafasi ya kuonana nae nitafanya hivyo
Anakaa mtaa gani?Ni kweli wapo watukutu wa kaliba yake hapo mtaani lakini cha kushangaza mbona hao wengine pamoja na utukutu wao wapo wanaishi makwao