Huu ni utukutu wa kawaida wa mtoto au kuna mengine

Huu ni utukutu wa kawaida wa mtoto au kuna mengine

OLUMBA OLUMBA OBU ......... ACHANA NA MAWAZO YA KIDINI MUNGU SIO DINI MUNGU NI UPENDO TUMIA JINA HILI LINA NGUVU SANA KULIKO UNAVYOJUA
huu ni wakati wa YEHOVA MUNGU NA KRISTO WAPO DUNIANI HAPA KAMA DANIEL ALIVOTABILI NA KWA JINA JIPYA OLUMBA OLUMBA OBU
 

Attachments

  • Screenshot_20250620_052615_BCS Everlasting Gospel.jpg
    Screenshot_20250620_052615_BCS Everlasting Gospel.jpg
    258.7 KB · Views: 22
OLUMBA OLUMBA OBU ......... ACHANA NA MAWAZO YA KIDINI MUNGU SIO DINI MUNGU NI UPENDO TUMIA JINA HILI LINA NGUVU SANA KULIKO UNAVYOJUA
Olomba olumba hii ni nini. Nielimisje tafadhari kuhusu hii imani
 
Waliosema asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu,

Huyo mtoto ikiwa wazazi wamesema naye haelewi, watamwacha aangukie duniani, huko atapata funzo ambalo atakuja kuhadithia mpaka vijukuu,

Nimeona watoto watukutu, aseeh waliyopitia baada ya kuwa mbali na wazazi, walibadilika au waozee jela ama kifo

waliokataa shule walirud ukubwani na sasa wana kazi, wengine wamejiajiri,

Upo wakati sahihi atabadilika japo itawaumiza wazazi kiakili ukilinganisha umri bado mdg sana
 
Ni
Anakaa mtaa gani?
Anasoma shule ya private au government?
Huko utotoni, baba ashawahi kuwa mtukutu?
Kijijini
Shule ya ya serikali
Kuhusu baba yake siwezi kujua ila ni jamaa mstaarabu tu
 
Malezi yanaweza yakahusika, au inawezekana mtoto alipitia mazingira mabaya, au kuna roho imemvamia isiyopenda asome, anahitaji mtu wa kuongea naye na kumfanyia maombi ya nguvu.
 
Ikiwezekana mzazi akubali kuingia gharama amtafutie shule ya bweni nje ya mkoa aliozaliwa au kulelewa pia iwe ni shule inayoendana na misingi ya dini kutegemea na Imani ya wazazi,hapo anatafuta mwl wa darasa anamweleza khs mapungufu ya kijana,atamsaidia
 
huku kuna mtoto hata 10yrs bado,ila anaiba hela za wazazi wake na anaenda kukaa barabarani kumgawia kila mhitaji hadi iishe,na nyumbani harudi anatafutwa anaonekana,anarudia tena,hata mlango ukifungwa ni kuvunja tu.
 
Nyie Wanasayansi na Ubishi wenu ndiyo maana yanawakuta....!

Mpeleke kwenye maombi.
 
Ni mtoto wa jamaa yangu. Huyu kijana ana miaka 12 tu ila amemtoa jasho jembamba jamaa yangu . Mtoto alianza kwa kukataa shule akienda shuleni anaishia kujificha anakuwa hafiki. Alipogundulika kuwa hafiki shule akatoroka nyumbani. Ameishi kwa kujificha ficha huko mitaani huku akitafutwa takribani wiki alipopatikana akatorokea kwa bibi yake.

Ikabidi ahamishiwe huko kimasomo lakini mwendo umekuwa ule ule tu. Mtoto akifanya makosa huondoka nyumbani na kwenda kuishi mitaani huku akiomba omba chakula kama asiye na wazazi

Aliwahi kupelekwa polisi kama kumtisha ili atulie ni kweli alitulia lakini baada ya kama wiki moja mwendo ukawa ni ule ule.

Ndugu wengine wame connect na imani za kishirikina kwamba mtoto amechezewa. Anaweza aondoke nyumbani kwa kufanya makosa au kwa hiari na kurudi ni mpaka atafutwe. Na akirudi atajituliza siku 2 au 3 na ataanza tena
Akapime DNA huyo mtoto sio wake,kabambikiwa.
 
Olomba olumba hii ni nini. Nielimisje tafadhari kuhusu hii imani
hili ni jina la KRISTO JINA JIPYA LA MUNGU UKISOMA DANIEL IVYO TAWALA ZOTE ZITADONDOKA ITASIMAMA MOJA NAYE KAFIKA TAYAR UTAWALA ZOTE LAZIMA ZIDONDOKE KWA KUWA KUNA TAWALA MOJA NAYO NI YA YEHOVA MUNGU NA KRISTO
 
huku kuna mtoto hata 10yrs bado,ila anaiba hela za wazazi wake na anaenda kukaa barabarani kumgawia kila mhitaji hadi iishe,na nyumbani harudi anatafutwa anaonekana,anarudia tena,hata mlango ukifungwa ni kuvunja tu.
Duu kweli dunia ina mengi
 
hili ni jina la KRISTO JINA JIPYA LA MUNGU UKISOMA DANIEL IVYO TAWALA ZOTE ZITADONDOKA ITASIMAMA MOJA NAYE KAFIKA TAYAR UTAWALA ZOTE LAZIMA ZIDONDOKE KWA KUWA KUNA TAWALA MOJA NAYO NI YA YEHOVA MUNGU NA KRISTO
 

Attachments

  • FB_IMG_1750259257559.jpg
    FB_IMG_1750259257559.jpg
    48.6 KB · Views: 21
K
hili ni jina la KRISTO JINA JIPYA LA MUNGU UKISOMA DANIEL IVYO TAWALA ZOTE ZITADONDOKA ITASIMAMA MOJA NAYE KAFIKA TAYAR UTAWALA ZOTE LAZIMA ZIDONDOKE KWA KUWA KUNA TAWALA MOJA NAYO NI YA YEHOVA MUNGU NA KRISTO
wa hio namtamkia kwa sauti au kimoyomoyo
 
Wangapi wanalea damu si zao ma watoto wametulia
Sasa Kama Umetambua Hilo Kwamba Wa Wengine Wametulia Haijalishi Ni Damu Zao Au La,,Basi Tambua Ya Kuwa Kuna Wengine Wanao Lelewa Hawajatulia Haijalishi Ni Damu Zao Au La.....Ukiona Kuna Mungu Ujue Shetani Hakosekani,,Ukiona Kuna Kiza Basi Ujue Kuna Mwanga.....Apambane Sana Hiyo Ni Changamoto Yake...Na Kama Yeye Muhusika Mkuu Atashindwa,,,Basi Kuna Ulimwengu Huwaga Haushindwi...Labda Dogo Anahitaji Bakora Na Nasaha Za Ulimwengu
 
Back
Top Bottom