huu ni wakati wa YEHOVA MUNGU NA KRISTO WAPO DUNIANI HAPA KAMA DANIEL ALIVOTABILI NA KWA JINA JIPYA OLUMBA OLUMBA OBUOLUMBA OLUMBA OBU ......... ACHANA NA MAWAZO YA KIDINI MUNGU SIO DINI MUNGU NI UPENDO TUMIA JINA HILI LINA NGUVU SANA KULIKO UNAVYOJUA
Olomba olumba hii ni nini. Nielimisje tafadhari kuhusu hii imaniOLUMBA OLUMBA OBU ......... ACHANA NA MAWAZO YA KIDINI MUNGU SIO DINI MUNGU NI UPENDO TUMIA JINA HILI LINA NGUVU SANA KULIKO UNAVYOJUA
KijijiniAnakaa mtaa gani?
Anasoma shule ya private au government?
Huko utotoni, baba ashawahi kuwa mtukutu?
Akapime DNA huyo mtoto sio wake,kabambikiwa.Ni mtoto wa jamaa yangu. Huyu kijana ana miaka 12 tu ila amemtoa jasho jembamba jamaa yangu . Mtoto alianza kwa kukataa shule akienda shuleni anaishia kujificha anakuwa hafiki. Alipogundulika kuwa hafiki shule akatoroka nyumbani. Ameishi kwa kujificha ficha huko mitaani huku akitafutwa takribani wiki alipopatikana akatorokea kwa bibi yake.
Ikabidi ahamishiwe huko kimasomo lakini mwendo umekuwa ule ule tu. Mtoto akifanya makosa huondoka nyumbani na kwenda kuishi mitaani huku akiomba omba chakula kama asiye na wazazi
Aliwahi kupelekwa polisi kama kumtisha ili atulie ni kweli alitulia lakini baada ya kama wiki moja mwendo ukawa ni ule ule.
Ndugu wengine wame connect na imani za kishirikina kwamba mtoto amechezewa. Anaweza aondoke nyumbani kwa kufanya makosa au kwa hiari na kurudi ni mpaka atafutwe. Na akirudi atajituliza siku 2 au 3 na ataanza tena
hili ni jina la KRISTO JINA JIPYA LA MUNGU UKISOMA DANIEL IVYO TAWALA ZOTE ZITADONDOKA ITASIMAMA MOJA NAYE KAFIKA TAYAR UTAWALA ZOTE LAZIMA ZIDONDOKE KWA KUWA KUNA TAWALA MOJA NAYO NI YA YEHOVA MUNGU NA KRISTOOlomba olumba hii ni nini. Nielimisje tafadhari kuhusu hii imani
Duu kweli dunia ina mengihuku kuna mtoto hata 10yrs bado,ila anaiba hela za wazazi wake na anaenda kukaa barabarani kumgawia kila mhitaji hadi iishe,na nyumbani harudi anatafutwa anaonekana,anarudia tena,hata mlango ukifungwa ni kuvunja tu.
hili ni jina la KRISTO JINA JIPYA LA MUNGU UKISOMA DANIEL IVYO TAWALA ZOTE ZITADONDOKA ITASIMAMA MOJA NAYE KAFIKA TAYAR UTAWALA ZOTE LAZIMA ZIDONDOKE KWA KUWA KUNA TAWALA MOJA NAYO NI YA YEHOVA MUNGU NA KRISTO
wa hio namtamkia kwa sauti au kimoyomoyohili ni jina la KRISTO JINA JIPYA LA MUNGU UKISOMA DANIEL IVYO TAWALA ZOTE ZITADONDOKA ITASIMAMA MOJA NAYE KAFIKA TAYAR UTAWALA ZOTE LAZIMA ZIDONDOKE KWA KUWA KUNA TAWALA MOJA NAYO NI YA YEHOVA MUNGU NA KRISTO
Wangapi wanalea damu si zao ma watoto wametuliaHuenda Si Damu Yake....
Sasa Kama Umetambua Hilo Kwamba Wa Wengine Wametulia Haijalishi Ni Damu Zao Au La,,Basi Tambua Ya Kuwa Kuna Wengine Wanao Lelewa Hawajatulia Haijalishi Ni Damu Zao Au La.....Ukiona Kuna Mungu Ujue Shetani Hakosekani,,Ukiona Kuna Kiza Basi Ujue Kuna Mwanga.....Apambane Sana Hiyo Ni Changamoto Yake...Na Kama Yeye Muhusika Mkuu Atashindwa,,,Basi Kuna Ulimwengu Huwaga Haushindwi...Labda Dogo Anahitaji Bakora Na Nasaha Za UlimwenguWangapi wanalea damu si zao ma watoto wametulia
kwa sauti kama unavyofanya jina la Yesu Kristo ....K
wa hio namtamkia kwa sauti au kimoyomoyo
jina ni Nuru tosha kukimbiza gizakwa sauti kama unavyofanya jina la Yesu Kristo ....
na wakimtoa kumhamisha,anatoroka na kuanza kurudi kwa kutembea hatakama mbali kiasi gani.Duu kweli dunia ina mengi