Sijui unaishi dunia ya ngapi au unaishi shimoni? Kwani Zari ndio wa kwanza kukimbiwa baada ya kuzalishwa? Aslay, Barnaba wamewakimbia wake zao Kiba kawa zalisha watoto wanawake watatu na wote kuachana nao, sasa ww unataka logic gani na hao wote waliishi nao.
Zari na Mondi wamedumu zaidi ya miaka miwili na kipindi kile ana mimba ya tiffah kakaa sana Madale. Kuna kipindi Mondi aliulizwa kwa nn umeachana na Zari, akawajibu sitoongelea chochote kuhusu Zari sababu namuheshimu, hili jibu ukilitizama Mondi aliamua kuficha weakness ya Zari sababu ya watoto zake.
Huyo Zari nae CV yake ya nyuma ni mbovu kusagana, kugongwa huko Uganda na Macelebrity wa huko akiwemo Radio wa Goodlife nk huwezi Mondi kaona nini, , huwezi jua Diamond kaona nini, haya maswala ya mahusiano yaacheni hivyo hivyo na uheshimuni uhuru wa Mondi wa kuchagua.