Huu ni wakati rasmi wa Diamond kurudi kwa Zari

Huu ni wakati rasmi wa Diamond kurudi kwa Zari

Umalaya wa diamond zari alichoka hawezi kula lile tapishi acha tu avurugwe na bado yajayo yanachekesha na kale ka paa na ungo ka mabutu lengo lilikua kumwaga mboga na ugali ili kajichukulie mzigo matokeo yake kameangukia pua mission impossible

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbukumbu ya ua jeusi ni kesho..
Aende kwa Hamisa.. Zari hawezi kurudiana nae.. ana Kingbae full maraha

Diamond aendelee tu na apendayo kufanya ulikuwa uamuzi wake..

Tarehe 14 atatafutia kiki.. lolote atakalofanya kashazoeleka hatashtua anaonyesha 150% anammisi Zee.

Bora akazane na kazi ya mademu kadoda kipindi hiki.. wala hagombaniwi.. apoe kidogo
Na hicho kidemu chake kipya ndio kbs wala hakina kiki hakishtui ht kidogo.
Yaan hakijawahi ku break internet km ilivyokuwa kwa Zari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiuliza kwanini watu wanamshauri DIAMOND arudi kwa zari..Jibu pekee na sababu pekee ni kwamba ZARI ANA PESA Zari ana pesa Gani bwana? pesa za marehemu mume wake? Mshaurini Diamond apate mke wa aina gani ila sio arudie taka taka ZARI.

ETI ANABADILI WANAWAKE kama analazimisha furaha?! alivyokua na zari alikua HACHEPUKI?? mnajua diamond mnamsikia? Hata angemuoa JACKLINE MENGI mondi kuchepuka ataacha MBOO yake ikikatika. Furaha huyu kijana anayo tena haijaanza leo FURAHA yake imeanzia DIAMONDS ARE FOREVER.
 
Back
Top Bottom