joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ni comment yangu ya kwanzaBasi kwanini kwa zari uone ni kwamba hafai kwa mambo ya hearsay??
Yes anayo porn video ya miaka ya nyuma ambayo ni ajali kazini inaweza mtokea yoyote. Lakini diamond alijua kua zari ana porn video na alidate naye na wakazaa watoto wawili. Kwanini maneno yako yanaonesha mambo mabaya ya zari tu always. Hana jema??
"Huwezi jua Mondi kakimbia nini, unaweza kumlaumu lkn mahusiano na ndoa zina siri nyingi, unaweza mlaumu mtu asiye na kosa kwani Zari nae CV yake ni mbovu mpaka alifikia hatua ya kusagana so huwezi jua Mondi kaona nini. Tusipende kujudge kwa kutumia hizi social network."