joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sikulaumu ww ushazoea kukurupuka, ila kaa ukijua ukiniheshimu nitakuheshimu, ila ukileta upuuzi nitakupuuza sababu mimi si mpuuzi kama ww ni kipi ambacho hujaelewa au unataka ligi. Mbona thread ya Zari kuhusu kusagana ipo humu jf na link za video zipo, jiheshimu dada yangu, mimi sigombanagi na mwanamke.Ooh waow ulimsaga mkuu?
Only in Tz a young man is advised to be with a single mother..Hvi karibuni kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya mastaa wameonekana wakimshauri wazi Wazi , msanii Diamond kurudi kwa mzazi mwenzie Zari , kwani wanawake wengi anaotoka nao bado hajawafikia hata robo ku fill gap ya zari .
Hivi karibuni shilole alimshauri Wazi diamond kuwa arudi kwa zari Kwan ndiye mwanamke anayemfaa, Mdaku nambar moja nae carry mastor ambaye Mara nyingi amekua akimponda zari wazi wazi nae alihojiwa akasema diamond hawez kupata mwanamke kama zari , yeye ndo anayemfaa, she is a package , Leo pia gigy money kwenye kipindi cha wasafi Tv ametamka Waz diamond arudiane na zari Kwan ndie mwanamke anayemfaa.
Hata hivyo Toka msanii hyo aachane na zari amekuwa akibadilisha wanawake hovyo, ni kama mtu aliyechanganyikiwa, yani analazimisha furaha
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ningekujibu ila umenikosea heshima. Ila do you have any piece of tangible evidence ya kuprove Zari aliimkimbia Mondi.Wee jamaa mondi sijui kakulosha limbwata gani,mwanaume mbea aisee. Aliyemkimbia mwenzie ni ZARI na kesho inatimiza mwaka acha kuloa lia na kutunga story zisizo na mashiko
#ikikuumamezawembeZarialimtosadomo#
Sikulaumu ww ushazoea kukurupuka, ila kaa ukijua ukiniheshimu nitakuheshimu, ila ukileta upuuzi nitakupuuza sababu mimi si mpuuzi kama ww ni kipi ambacho hujaelewa au unataka ligi. Mbona thread ya Zari kuhusu kusagana ipo humu jf na link za video zipo, jiheshimu dada yangu, mimi sigombanagi na mwanamke.
Ningekujibu ila umenikosea heshima. Ila do you have any piece of tangible evidence ya kuprove Zari aliimkimbia Mondi.
Usiheshimu mimi basi iheshim platform ya JFKesho valentine eee unataka ushahidi gani tena#blackroseeffect#. Kulia lia umekosewa heshima wakati wewe mwenyewe huna heshima pyeeee
Usiheshimu mimi basi iheshim platform ya JF
Mpuuzi mpuuze.Nitaiheshimu pale wapuuzi kama wewe watakapoacha kuropoka ovyo
Mahaba too much mpaka kumtungia uwongo mwanamke ambaye anamuona tu kwa picha na videosWee jamaa mondi sijui kakulosha limbwata gani,mwanaume mbea aisee. Aliyemkimbia mwenzie ni ZARI na kesho inatimiza mwaka acha kuloa lia na kutunga story zisizo na mashiko
#ikikuumamezawembeZarialimtosadomo#
Sijaona picha lakini zaidi ya maneno lakini je hizo vitu zilikuwepo wakati akiwa kwenye mahusiano na diamond? Mengine yanaweza kua maneno ya mitandaoni tu. Hivi ile habari ya mondi anatembea na mama ake wewe unaichukuliaga kweli au si kweli?
Watu wanahusianisha na mambo ya kichawi, lkn mm naamini ni mapenzi yaliyopitiliza kwa mama yake, sababu magumu mengi aliyoyapitia yy msaada mkubwa ni mm yake "uliyeokota naye kuni ndiye wakuota nae moto".Sijaona picha lakini zaidi ya maneno lakini je hizo vitu zilikuwepo wakati akiwa kwenye mahusiano na diamond? Mengine yanaweza kua maneno ya mitandaoni tu. Hivi ile habari ya mondi anatembea na mama ake wewe unaichukuliaga kweli au si kweli?
Ukiwa unamsafisha mwingine usimchafue mwingine
Basi kwanini kwa zari uone ni kwamba hafai kwa mambo ya hearsay??Watu wanahusianisha na mambo ya kichawi, lkn mm naamini ni mapenzi yaliyopitiliza kwa mama yake, sababu magumu mengi aliyoyapitia yy msaada mkubwa ni mm yake "uliyeokota naye kuni ndiye wakuota nae moto".
Hii ni kawaida hata kwa Juma nature alivyokuwa ktk peak watu walivumisha anapewa kizizi na mama yake ili ang'ae na kujaza watu ktk show zake. Mpaka Kalapina nae alilisema baada ya Nature kujaza Diamond kwa mara ya pili, lkn leo nature yupo wapi. So maji hata yawe ya motto vipi lazima yatarudi kwenye ubaridi wake, siku zote ipo hivyo. Mondi huu ni muda wake ila Kuna kipindi kitafika atadrop.Sijaona picha lakini zaidi ya maneno lakini je hizo vitu zilikuwepo wakati akiwa kwenye mahusiano na diamond? Mengine yanaweza kua maneno ya mitandaoni tu. Hivi ile habari ya mondi anatembea na mama ake wewe unaichukuliaga kweli au si kweli?
Ukiwa unamsafisha mwingine usimchafue mwingine
Mahaba too much mpaka kumtungia uwongo mwanamke ambaye anamuona tu kwa picha na videos
Ukitizama comments nyingi zinamlaumu Mondi kwa nini kamuacha Zari. Ukiangalia comments ya kwanza nimeeleza vizuri, tunaweza mlaumu mondi lkn hujui yy kaona nini sisi tuna judge tu kwa kupitia social network hizi, lkn hata huyu Zari ana CV ya umalaya huko nyuma inaweza ikawa sababu, kusagana, pili ana hela inaweza ikawa inampa kiburi so nayo inaweza ikawa sababu, kwani siri ya mtungi aijuaye ngata, mwisho siku mapenzi ni ya wawili ndio wanaojua sababu ya kuachana.Basi kwanini kwa zari uone ni kwamba hafai kwa mambo ya hearsay??
Yes anayo porn video ya miaka ya nyuma ambayo ni ajali kazini inaweza mtokea yoyote. Lakini diamond alijua kua zari ana porn video na alidate naye na wakazaa watoto wawili. Kwanini maneno yako yanaonesha mambo mabaya ya zari tu always. Hana jema??
Sijaona picha lakini zaidi ya maneno lakini je hizo vitu zilikuwepo wakati akiwa kwenye mahusiano na diamond? Mengine yanaweza kua maneno ya mitandaoni tu. Hivi ile habari ya mondi anatembea na mama ake wewe unaichukuliaga kweli au si kweli?
Ukiwa unamsafisha mwingine usimchafue mwingine