mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Yes ni kweli zari Yuko vizuri lakini nafikiri mobetto alimuharibia diamond makusudi
Amba ruti ana maoni gani?
Ha haa nomaAmba ruti ana maoni gani?
Na hicho kidemu chake kipya ndio kbs wala hakina kiki hakishtui ht kidogo.Kumbukumbu ya ua jeusi ni kesho..
Aende kwa Hamisa.. Zari hawezi kurudiana nae.. ana Kingbae full maraha
Diamond aendelee tu na apendayo kufanya ulikuwa uamuzi wake..
Tarehe 14 atatafutia kiki.. lolote atakalofanya kashazoeleka hatashtua anaonyesha 150% anammisi Zee.
Bora akazane na kazi ya mademu kadoda kipindi hiki.. wala hagombaniwi.. apoe kidogo