Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
- Thread starter
- #41
Na hili ndio tatizo kubwa kwetu waTz. Tunaishi kwa hisia, hivi unadhani hili bunge ni kibogoyo? Hivi JPM akiharibu maslahi ya taifa halitamshughulikia? Habari za wizi wa kura hazina ushahidi ni kulialia tu. Mdee ametoa jawabu la ajabu sana!Sio hili bunge kibogoyo. Hilo bunge la watoa rushwa na wezi wa kura. Nusu ya wabunge wa ccm wako bungeni kwa kura za tiss na tume ya uchaguzi, wabunge wa aina hiyo wanaweza kufanya nini la maana?