Huu ni wakati wa kusimamia misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Huu ni wakati wa kusimamia misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Yaliyotabiriwa au yaliyopangwa na Magufuli na genge lake?
Mimi na wewe tulianza kubishana juu ya kifo cha Chadema lini? Magufuli anahusika vipi alikuwa busy kutekeleza ilani ya Ccm
 
Mimi na wewe tulianza kubishana juu ya kifo cha Chadema lini? Magufuli anahusika vipi alikuwa busy kutekeleza ilani ya Ccm

Kifo cha cdm kwa kura za kwenye mabeg na umwagaji damu? Hilo utasubiri maisha yako yote hutakaa ulione.
 
Nani yupo juu ya sheria hapa Tanzania? Hujui kuwa bunge linamlaka ya kumvua urais kama atatumia madaraka yake vibaya?
Nani anaweza kumpeleka mahakamani kwa makosa yake ? Bunge sio mahakama maana ndiyo yenye jukumu ilo kisheria
 
Back
Top Bottom