Huu ni wakati wa kuyatafuta mabadiliko nje ya CCM

Zile sera zenu za kuua ,kutesa ,kuteka, kulawiti kubambika kesi za uhujumu uchumi wale wanaowapinga mmeachana nazo
 
Kufa umfuate yule dhalim mkalete mabadiliko jehanam
 
Ndiyo maana Mimi mtu akiniambia eti tusimlaumu Magufuli kwa vile alikuwa na mazuri yake kwa kweli lazima nimdharau Sana.

Magufuli aliishi na mijitu ya HOVYO Kama Cyprian Musiba, Makonda na Ole Sabaya kwa sababu na yeye mwenyewe alikuwa mtu wa HOVYO sana.

Mtu jeuri, mwizi, mbabe, mwongo, mwenye chuki, muuwaji, dhuluma na mbishi wa kijinga aliyeibishia dunia kuhusu Corona na akafa kwa Corona
 
Utapata taabu sana😊
 
🤣Madaraka matamu, kumbe uanachama ni vyeo tukipokonywa na chama kinaharibika
 
Utateseka sana
Narudia
Utateseka sana

Jiwe walilolikataa waashi limevunjika
Na Sasa vipande vyake vyatumika kusugulia makenya kwenye nyayo za miguu!

Mlidhani mungu mtu jiwe ataishi milele?

Kama unaumia sana enyi CCM makinikia a.k.a mikia mbuzi toka chato nendeni mabatini mkauombe msukule wenu ufufuke shwaini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…