Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Bajeti imesomwa, waliosikiliza wamesikia, waliosimuliwa wamesikia, waliiosoma wameisikia, na WALIOELEWA huenda wameelewa.
Kinachofuata sasa ni mjadala kwa Wawakilishi wa Wananchi "waliochaguliwa" kwa 99% yaani Bunge zima ni CCM.
Tunataka watudhihirishie kuwa wako "vizuri" kutetea maslahi ya Wananchi kwenye vipengele vyote vinavyoumiza wananchi na sio kwa kauli za Mwigulu zilizojaa kebehi na maudhi
Je, wabunge hawa wako kijani watauweza mtihani huu au itakua ni kupongeza tu? Je kuna mbunge yoyote wa CCM ataweza "kumdindishia" Waziri juu ya vipengele ambavyo havina maslahi kwa Taifa?
Kazi ni kwenu. Hakuna Mpinzani wa kuwakwamisha tena, hebu tuwaone!