Huu picha ina maana kubwa sana kiroho, ama kweli hela ngumu

Hiyo ni AI sasa imekufikia ww shoga unaawanza kudhani ni kweli
 
Yan saiz kuna vi account vingi vimefunguliwa may,June na July halafu na zile zilikua absent Ila zimerudi hapa Kati....
Aisee madogo wanapost Mambo ya kikuda kinoma yani kuna muda mpaka inakata stimu sijui hawa wametoka wapi😡
Sometimes una wish turudi kule kule kwenye VPN
 
Hawa wasanii wanavalishwa na mashoga kwa sababu ndio wameshika trendy ya mavazi dunia nzima.

Hivyo hatutaacha kuona mambo kama hizi kwa watu maarufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…