Huu picha ina maana kubwa sana kiroho, ama kweli hela ngumu

Yupo kwenye mission huyo, ana haribu vizazi wala sio sanaa hio
Sijajua , ila wasanii wakubwa duniani sio mashoga kabisa ila wanafanya hivyo kama kuonyesha wapo sawa na mashabiki zao wote
Screenshot_2026-07-10_153350.jpg
 
Hawa wasanii wanavalishwa na mashoga kwa sababu ndio wameshika trendy ya mavazi dunia nzima.

Hivyo hatutaacha kuona mambo kama hizi kwa watu maarufu
Hamna sio kweli sema yeye mwenyewe ni deadly wa fashion lakin hapo hakuna vazi linaloashiria ushoga
 
Yan saiz kuna vi account vingi vimefunguliwa may,June na July halafu na zile zilikua absent Ila zimerudi hapa Kati....
Aisee madogo wanapost Mambo ya kikuda kinoma yani kuna muda mpaka inakata stimu sijui hawa wametoka wapi😡
Sometimes una wish turudi kule kule kwenye VPN
Fungua JF yako mkuu.
 
Huyo mwenzenu anajua maadui zake wanamfuatilia sana , hata kama hawajamfollow ila wanachungulia account yake so ni sehemu ya engagement zake. Ili kuendelea kukuza engagements zake basi hutengeneza matukio kama hayo , huyo ana familia na anawakata mademu kama kawaida, tumia akili hata ya kuvukia barabra ukitaka kupost .​
 
Na wewe vaa gauni mana ni wazi kuwa una maadui ambao wanakuwa wanakufatilia bila wewe kujua
 
Sijajua , ila wasanii wakubwa duniani sio mashoga kabisa ila wanafanya hivyo kama kuonyesha wapo sawa na mashabiki zao woteView attachment 3626369
Wasanii wana influence kwenye jamii hizo mambo zinafanyika kimkakati sana nia ni kuleta destruction kwenye generation, sisi kipindi tinakua tulikua tuna vaa manguo oversize tulikua tuna iga wasanii wa kipindi hicho hata movies tulikua tuna angalia za kivita na mapigano hata michezo yetu ilikua mapigano na ubabe so hio kitu sio fashion ni mission Mshana Jr njoo utupe neno msanii wako pendwa kaharibu hali ya hewa
 
Naona ni ubunifu wa kisanii tu, pia wasanii na usanii wao wanaoufanya hulenga makundi yote ya kijamii , hivyo sio ajabu kuona msanii akijitoa ufahamu ili kuonyesha yupo pamoja na kila shabiki wake bila kujalisha.
Ashafanikiwa si waona jamaa kamfungulia uzi, ndivyo wanavyotaka na ndo endorsements wanazipata kwa njia hiyo.

Yule binti video yake ilivuja akiingiliwa kinyume na mumewe, alipewa dili za kutangaza condom.
 
Wasanii wana influence kwenye jamii hizo mambo zinafanyika kimkakati sana nia ni kuleta destruction kwenye generation, sisi kipindi tinakua tulikua tuna vaa manguo oversize tulikua tuna iga wasanii wa kipindi hicho hata movies tulikua tuna angalia za kivita na mapigano hata michezo yetu ilikua mapigano na ubabe so hio kitu sio fashion ni mission Mshana Jr njoo utupe neno msanii wako pendwa kaharibu hali ya hewa
Gen Z wamerudi na hiyo fashion ila wao ni too much 😀😀. Dogo unakuta kavaa bonge msuruali, mshati kama braza K, mkiatu soli kuwa kama trekta sijui huwa wanatembeaje.
 
Watu bhana mtu akiwa na pesa ni kumchukia na kumtangaza kwa vitu vya hovyo hovyo tu hiyo ni roho mbaya na dalili za umasikini ukiingia kwenye damu anaweza kuwa na changamoto zake ila sio kuzusha usushi kisha kazidi cash..
 
Wasanii wana influence kwenye jamii hizo mambo zinafanyika kimkakati sana nia ni kuleta destruction kwenye generation, sisi kipindi tinakua tulikua tuna vaa manguo oversize tulikua tuna iga wasanii wa kipindi hicho hata movies tulikua tuna angalia za kivita na mapigano hata michezo yetu ilikua mapigano na ubabe so hio kitu sio fashion ni mission Mshana Jr njoo utupe neno msanii wako pendwa kaharibu hali ya hewa
Mwanaume rijali akishabinua kiuno namna hiyo kifuatacho ni kuanua tanga
 
Back
Top Bottom