Zanzibar 2020 Huu sasa ni ufalme; haiwezekani watoto na familia ya Mwinyi iteuliwe kugombea kuanzia Urais hadi Ubunge

Nimetafuta jinsi ya ku like mara 100 comment yako nimeshindwa. Anyway wapiga Kura pindueni meza ili Salma akamtunze Mr JK

Wapiga kura tukampindue jecha kwanza maana tume ni ya CCM
 

CCM INA JECHA ??
 
Ndio maana inatumika nguvu kubwa sana kuzorotesha upinzani, huko mbele nchi itaongozwa na kikundi cha baadhi ya familia au Koo fulani tu ,kutakuwa hakuna maana ya kusomesha na kuzalisha wataalam maana kila nafasi nzuri ya ajira itachukuliwa na wanafamilia hao.
 
Abdallah Mwinyi mbona sio mbunge. alikuaga mbunge wa Afrika Mashariki lakini kwa sasa sio mbunge
Nani kasema ni mbunge, tuliza akili usome kwa makini, sijui uko shuleni mlienda kusomea ujinga.
 
FRED lowassa
Salma Kikwete
Ridhiwani Kikwete
.....
.....
CCM INA WENYEWE. WENYEWE NDIO HAO. sisi kazi yetu ni kusema MITANO ZAIDI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili waendelee kula mema ya nchi
😁😁😁 Hao ndio royal family bwana. Wanakula keki ya taifa kuanzia babu mpaka wajukuu
 
#Ufalme au?

Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar

Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni

Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda

Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
George Bush Snr, George Bush Junior. Bill Clinton, Hilary Clinton. Edwin Mtei na mkwewe Freeman Mbowe (Chadema)
 
FRED lowassa
Salma Kikwete
Ridhiwani Kikwete
.....
.....
CCM INA WENYEWE. WENYEWE NDIO HAO. sisi kazi yetu ni kusema MITANO ZAIDI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili waendelee kula mema ya nchi
Umeongea kama masihala lakini.... hatari sana! Yaani kundi la watu limejibinafsisha nchi hii kuwa ni urithi wao na vizazi vyao.
 
Kwani ameshachaguliwa kuwa mbunge ?
 
Nasikia Salma kikwete anautaka uwaziri na ikiwezekana hapo baadae uraisi wa Jamhuri
 
#Ufalme au?

Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar

Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni

Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda

Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Hapo ndio Mwinyi anakwambia Magufuli babaaa tawala milele.

Wanampa atakacho. Masikini wenzangu tukomae na vitambulisho vya machinga🤐🤐🤐🤐
 
Kwa nini familia ya Nyerere inatoswa sana na wajumbe wa Ccm na kwa nini familia ya Mwinyi imebebwa sana huko zanzibari na WAJUMBE?

NOTE;MODE USIFUTE UZI HUU.
Familia ya Nyerere mwenye unyerere ni honourable Freeman Mbowe
 
Vasco mzee wa safari
 
#Ufalme au?

Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar

Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni

Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda

Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Kuna mwana CCM mmoja miaka nenda miaka rudi, yeye anaimba mapambio lkn hata huo msosi wa mara mbili kwa siku hamna !!!



MZEE MWINYI ATAENDELEA KUMSIFIA MAGUFULI, KWA SABABU MATUMBO YA WANAFAMILIA YAKE YAMEJAZWA NI KIPOFUUUU.
 
#Ufalme au?

Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar

Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni

Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda

Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Mzee Mwinyi naye aliingia ligi ya kutaka Rais Magufuli “atawale milele”.
Wananchi wametake note!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…