Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Nimetafuta jinsi ya ku like mara 100 comment yako nimeshindwa. Anyway wapiga Kura pindueni meza ili Salma akamtunze Mr JK
Wapiga kura tukampindue jecha kwanza maana tume ni ya CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetafuta jinsi ya ku like mara 100 comment yako nimeshindwa. Anyway wapiga Kura pindueni meza ili Salma akamtunze Mr JK
Hahaha Chadema kina wagombea, ACT inawagombea, wasiwasi wenu nini hao wakigombea?!
Siasa haina mwenyewe kuna wakati ni bahati, kama hamuwataki ni vizuri mkajadili watu mbadala wa vyama vingine.
Mnafahamu ccm ina wenyewe na wenyewe ndio hao.
Simamieni vyama vyenu yakwao waachieni, hiyo ndiyo demokrasia, muwakatae kwa kura.
Vyama visiposimamisha wagombea wazuri, hao msiowataka watashinda kweli.
Asante kwa utopolo wako bro.Zitto
Alhaj Bulembo
Halima
Nani kasema ni mbunge, tuliza akili usome kwa makini, sijui uko shuleni mlienda kusomea ujinga.Abdallah Mwinyi mbona sio mbunge. alikuaga mbunge wa Afrika Mashariki lakini kwa sasa sio mbunge
😁😁😁 Hao ndio royal family bwana. Wanakula keki ya taifa kuanzia babu mpaka wajukuuFRED lowassa
Salma Kikwete
Ridhiwani Kikwete
.....
.....
CCM INA WENYEWE. WENYEWE NDIO HAO. sisi kazi yetu ni kusema MITANO ZAIDI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili waendelee kula mema ya nchi
George Bush Snr, George Bush Junior. Bill Clinton, Hilary Clinton. Edwin Mtei na mkwewe Freeman Mbowe (Chadema)#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Umeongea kama masihala lakini.... hatari sana! Yaani kundi la watu limejibinafsisha nchi hii kuwa ni urithi wao na vizazi vyao.FRED lowassa
Salma Kikwete
Ridhiwani Kikwete
.....
.....
CCM INA WENYEWE. WENYEWE NDIO HAO. sisi kazi yetu ni kusema MITANO ZAIDI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili waendelee kula mema ya nchi
Kwani ameshachaguliwa kuwa mbunge ?Kila mtu ana haki kikatiba, ila mama Kikwete na Mwinyi walichofanya sio sahihi. Mama salma kikwete angeachia hata ukoo mwingine nao ule national cake ya ubunge huko kwao kusini, maana yeye na mumewe wana asilimia 70 ya mshahara wa urais mpaka kufa kwao.
Yy Salma Ana hamu ya kuwatumikia wananchiKwa kweli ni kama mzaha kwa immediate former first lady kuhangaika na ubunge. Ni kuzibia wengine riziki tu
Nasikia Salma kikwete anautaka uwaziri na ikiwezekana hapo baadae uraisi wa JamhuriKila mtu ana haki kikatiba, ila mama Kikwete na Mwinyi walichofanya sio sahihi. Mama salma kikwete angeachia hata ukoo mwingine nao ule national cake ya ubunge huko kwao kusini, maana yeye na mumewe wana asilimia 70 ya mshahara wa urais mpaka kufa kwao.
Hapo ndio Mwinyi anakwambia Magufuli babaaa tawala milele.#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Hawapo kwenye listNa familia ya Ndesamburo, Lissu na Faru John??
Familia ya Nyerere mwenye unyerere ni honourable Freeman MboweKwa nini familia ya Nyerere inatoswa sana na wajumbe wa Ccm na kwa nini familia ya Mwinyi imebebwa sana huko zanzibari na WAJUMBE?
NOTE;MODE USIFUTE UZI HUU.
Vasco mzee wa safariHili la Salma Kikwete ni dhahiri mumewe hana power nyumbani kwao juu ya maamuzi ya Huyu mama!
It is beyond belief that she could decide to go and contest a parliamentary seat instead of taking care of an ailing retired politician!! Kama ukwasi Vasco Dagama amejilimbikizia wa kutosha!
Atulie tu yeye angekuwa na mtoto tungempatia u speakerZa chini ya kapeti ni kuwa BWM hakupenda idea ya kumfanya mtoto wa mfalme Hussein Mwinyi naye awe mfalme!
Rest in peace BWM!
Kuna mwana CCM mmoja miaka nenda miaka rudi, yeye anaimba mapambio lkn hata huo msosi wa mara mbili kwa siku hamna !!!#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Mzee Mwinyi naye aliingia ligi ya kutaka Rais Magufuli “atawale milele”.#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Mzee Mwinyi naye aliingia ligi ya kutaka Rais Magufuli “atawale milele”.
Wananchi wametake note!