Huu sasa ni uharamia: Kumbe bomba la gesi Nord 1 lilifumuliwa, kipande cha mita 40 kikatoka!

Huu sasa ni uharamia: Kumbe bomba la gesi Nord 1 lilifumuliwa, kipande cha mita 40 kikatoka!

Baelezeee waswahili haoo mafalaa
Supporters of anti-Russia sanctions are some of its biggest customers – NYT

Several Western states have boosted imports from Moscow since February, data cited by the New York Times indicates
nawafuatilia warusi , wanadai Putin anawauza kwa China kwa bei rahis sana , za chini chini ni kuwa China ina supply silaha kwa Urusi
 
Putin kasema anajiandaa na vita vya muda mrefu kumbe anajua kuwa mziki bado ni SAA 2 usiku alafu inabidi kukesha.... kiuchumi Russia itakuwa hoi bin taaban Hadi kufikia mwakani miezi kama hii
Unapoamua kuwa Yahaya Hussein utoe basi angalao zinazofanana na ukweli.
Hapa tunazungumzia RUSSIA(Mbuyu) ujue..!
Hiyo ramli yako ni kwa ajili ya nchi za matopeni kama ya mfalme Zumaridi huko.
 
Sasa nimeelewa kwa nini nchi za magharibi hazikutaka kabisa kuihusisha Urusi kwenye kuchunguza kilichotokea kwenye mabomba ya gesi toka urusi. Tuliambiwa gesi ilivuja kumbe siyo kuvuja bali ILIMWAGIKA!! Kuvuja maana yake kuna tundu kwenye bomba.

Kumbe si tundu bali bombomba lilifumuliwa na kipande cha mita 40 kikanyofoka! Putin kama angeona kipindi hicho huenda hasira zingempanda na akalipiza kisasi huenda kwa ukatili zaidi. Baada ya muda kupita, vumbi linatulia hatimaye kampuni ya urusi inayoshughulika na uuzaji wa gesi ikaruhusiwa kujionea maafa!! Looh!! Kipande cha kueleweka cha mita 40 kilipigwa kombora kikanyofoka!

When the September blasts that damaged Nord Stream came up, the Russian president said that Gazprom was allowed to inspect the damage. Sweden had refused to involve Russia in the investigation, citing information “that is subject to confidentiality directly linked to national security.”

The blast “tore off” a 40-meter section of the pipe and separated the lines by 250 meters, Putin said, adding there was “a piece bent by 90 degrees and thrown against another part of Nord Stream.”
Mkuu unaleta habari za ajabu, au labda niseme: uvumi usi na msingi. NAni angezuia Urusi kufanya utafiti wa bomba?? Wewe unasema ni Uswidi. Kivipi ???
Bomba halipiti katika eneo la Uswidi.
Ona ramani.
1667319091419.png

Naomba sana: tuepukana na kusambaza propaganda, hasa kama ni dhahiri kijinga kama uvumi huo!
 
Mimi ningekuwa karibu na hao Jamaa walioyabutua mabomba ya ges ningewapa Binti yangu Bure kabisa...,wametupunguzia kelele kwa kiasi kikubwa sana..,Lile Bomba lilikuwa linatumika kisiasa tu.., yahani fashisti Putin mwenyewe hiyo ges mara afungulie,mara afunge,yaani Ili mradi kick tu Ili kila mmoja ajue kwamba ulaya wanatumia ges kutoka urusi.., ulikuwa ni ujinga wa Hali ya juu sana

Alafu kama ulaya ndio wafaidika wakuu wa ges ya urusi,nyie pro Russia mnawashwawashwa nini mpaka maanzisha thread humu??..,
Si muwaache wafe tu Kwa baridi?.., maana hiyo itakuwa furaha kwenu.., mnaleta thread humu Ili tuwaonee huruma kwamba mnaonewa au lengo la kuleta thread ni nini hasa??

Pilipili usiyoila yakuwashia nini???

Ukweli ni kwamba kubutuliwa kwa Lile Bomba kumemaliza zile kick za ges..,mara hoo gesi imekuwa hivi..,mara hoo gesi imekuwa vile..,yaani Ili mradi kick tu..., tulieni hivyo hivyo.., ulaya na marekani wameamua wenyewe kuishi bila ges ya urusi kwani Kuna ubaya gani?

Vinginevyo, semeni wazi tu kwamba mnaumia kuona urusi anakuwa sio Tena supplier mkubwa wa ges barani ulaya,hapo mtaeleweka vizuri tu..,sio kuzungukazunguka kama kuku anayetaka kutaga,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Putin kasema anajiandaa na vita vya muda mrefu kumbe anajua kuwa mziki bado ni SAA 2 usiku alafu inabidi kukesha.... kiuchumi Russia itakuwa hoi bin taaban Hadi kufikia mwakani miezi kama hii
Mzee wakati uchumi wa Russia unazidi kupaa..afu Russia sio Iraq baba.
 
Ime export kiasi gani mwaka huu na mwaka uliopita ili export kiasi gani?
Sijui ulikuwa unafikiria nini wakati unaandika hii!
Kwa sasa Russia ina export bidhaa zaidi kuliko ku- import, fedha yake ina imarika.
 
Ni vilaza tu ndio wanaamini maisha hayawezi kuendelea Ulaya bila gesi ya Urusi.
Huwezi ukafikia hitimisho hilo eti hakuna maisha ulaya bila gesi ya kutoka URUSI?!!Mbona nchi nyingi zimeshapata mbadala japo sio kwa 100%lakini watavuka tu kipindi hicho cha mpito.kwani hata kabla ya kulipuliwa,si alishakuwa amelifunga akidai kuwa vikwazo vya EU,vimepelekea kukosa spea za kutengeneza?!!
 
Mimi ningekuwa karibu na hao Jamaa walioyabutua mabomba ya ges ningewapa Binti yangu Bure kabisa...,wametupunguzia kelele kwa kiasi kikubwa sana..,Lile Bomba lilikuwa linatumika kisiasa tu.., yahani fashisti Putin mwenyewe hiyo ges mara afungulie,mara afunge,yaani Ili mradi kick tu Ili kila mmoja ajue kwamba ulaya wanatumia ges kutoka urusi.., ulikuwa ni ujinga wa Hali ya juu sana

Alafu kama ulaya ndio wafaidika wakuu wa ges ya urusi,nyie pro Russia mnawashwawashwa nini mpaka maanzisha thread humu??..,
Si muwaache wafe tu Kwa baridi?.., maana hiyo itakuwa furaha kwenu.., mnaleta thread humu Ili tuwaonee huruma kwamba mnaonewa au lengo la kuleta thread ni nini hasa??

Pilipili usiyoila yakuwashia nini???

Ukweli ni kwamba kubutuliwa kwa Lile Bomba kumemaliza zile kick za ges..,mara hoo gesi imekuwa hivi..,mara hoo gesi imekuwa vile..,yaani Ili mradi kick tu..., tulieni hivyo hivyo.., ulaya na marekani wameamua wenyewe kuishi bila ges ya urusi kwani Kuna ubaya gani?

Vinginevyo, semeni wazi tu kwamba mnaumia kuona urusi anakuwa sio Tena supplier mkubwa wa ges barani ulaya,hapo mtaeleweka vizuri tu..,sio kuzungukazunguka kama kuku anayetaka kutaga,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazungu nyoko sana!

Yani ni sawa na mtu unampa unga alafu unaanza kumnanga kwamba mimi ndio huwa nakupa unga wa kula, sasa kukudhihirishia kwamba unga wako si lolote anakujgs kuumwaga uwanjani kwako ardhini.
 
Ime export kiasi gani mwaka huu na mwaka uliopita ili export kiasi gani?
Nimechoka kuweka link tafuta mitandaoni zipo takwimu unazotaka.

BTW, hoja yangu kuu ni kuwa uwiano(ratio) kati ya exports na imports imebadilika achana na idadi kwa maana ya volume ya walicho export.
Wamewekewa vikwazo vya kuuziwa vitu vingi hivyo wanauza zaidi kuliko kununua toka nje, viwanda vya ndani vinafanya vizuri kwa soko la ndani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazungu nyoko sana!

Yani ni sawa na mtu unampa unga alafu unaanza kumnanga kwamba mimi ndio huwa nakupa unga wa kula, sasa kukudhihirishia kwamba unga wako si lolote anakujgs kuumwaga uwanjani kwako ardhini.

Mnazungumza vitu gani lakini?? Hivi mnajua vizuri historia ya projects za Nord1 and Nord2 au mnajesemea tu kufurahisha baraza!!

Lini Putin aliwahi ku-blackmail mataifa ya Ulaya kwamba lazima mnunue gesi yangu or else - acheni kuwa mnatunga adithi zenu za uongo kwa malengo ya kisiasa ambazo wala hamjui udani wake zaidi ya kusikiliza propaganda MSM,hata hamjui kwamba chuki dhidi ya Urusi zinatokana na wivu wa kike unao kuwa propagated na Amerika kutokana na Urusi kuwa endowed with vast Natural resources ni hicho tu,msitake kugeuza geuza maneno hapa, Urusi haikuwahi hata siku moja kwenda kuomba nchi za Ulaya ili aziuzie gesi,kinyume chake Ulaya wenyewe ndio walikwenda kuiomba Urusi ishirikiane na makampuni binafsi ya Ulaya kujenga mabomba ya kusafirisha gesi kwenda Ulaya -kitu hii ilikuwa inawauma sana utawala wa Merikani ikaanzisha kampeini chafu ya kuwatisha wanunuzi wa gesi ya Urusi kwamba eti Urusi inataka kuitawala/endesha Ulaya kwa kutumia gesi yake -ulaghai mtupu wa Merikani kama kwaida yao,lakini wao kuuza gesi yao kwenye soko la Ulaya hilo wao wanaona ni balabala lakini sio Urusi bwana - wivu tu 24X7 Merikani hawana hata aibu kuziuzia gesi nchi za Ulaya mara nne ya bei ya soko,si hilo tu wanakwenda mbali zaidi wanafanya hujuma za kulipua mambomba ya gesi ya Nord1/2 mambo ya kijambazi kabisa inafanywa na taifa linalo jinasibu kwamba ni la kistaarabu kumbe ulaghai mtupu wa kutawaliwa na wivu na roho ya kutu ya kwa nini - ndio walivyo,hilo nilitaka niliweke sawa kwanza. FYI, Urusi hana shida, gesi yake anaweza kuiuza popote Duniani, specifically middle and far east nk.

Sasa tuje kwenye suala la vita hii inayo endelea huko Ukraine ukweli wa mambo ni kwamba aliye leteleza vita hii au tuseme mchochezi mkubwa ni Merikani yenyewe, hiyo ndio ilimwingiza mkenge Zelensky kwa kumulazimisha apuuzie makubaliano yake na Urusi ya Minsk2, utawala wa Biden ulijua kwamba Zelensky akipuuzia makubaliano ya Minsk2,basi Urusi itakuwa haina jinsi zaidi ya kuazisha vita - na hicho ndicho Merikani na Uingereza walicho kuwa wanakitaka/tafuta kwa siku/miaka mingi kama mwanya wa kuitumia Ukraine ili ipigane vita(proxy war) kwa niaba ya Merikani na Uingereza - lengo hasa la Anglo-Saxon gang lililenga kwamba vita hii itahujumu uchumi wa Urusi na kikubwa zaidi vitaidhoofisha Urusi kijeshi making sure inakuwa destroyed in totality hisiwe tena tishio la maslahi ya Anlo-Saxon gang,kwa bahati mbaya mataifa mengine ya Ulaya wao ni bendera fuata upepo tu hawana kauli yoyote mbele ya Merikani, wapo wapo tu kama mazezeta mtu unaweza kufikiri labda mataifa hayo hayajawahi kupata uhuru wa kweli -yaani EU yote ni kama jimbo la 51 la Merikani, mimi nilikuwa sijui kama baadhi ya watawala wa kizungu huko Ulaya wanaweza kuwa wajinga kwa kiasi hicho!!

Watu wengi wanamlahumu sana Putin bila ya kuzingatia ni nini kiini cha tatizo baina ya Ukraine na Russia - na kwa bahati mbaya media nyingi za magharibi zina penda penda sana kuwapotosha watu kimakusudi kwa lengo la kuikandia Urusi hasa hasa Putin.

Kitu cha kujiuliza hapa mbona Merikani iliwahi kuvamia Yugoslavia na kuipiga mabom mfururizo/carpet bombing killing a lot of civilians and destroying infrastrures back to stone age ERA - sikuwahi hata siku moja kusikia/ona Dunia nzima ikiungana kwa kuikemea matendo ya kikatiri ya Merikani au kutoa pendekezo kwenye umoja wa Mataifa ku-slap punitive sanction (vikwazo vya kiuchumi) dhidi ya Merikani - mataifa mengi yalikaa kimya kabisa - sasa angalia US ilivyo mobilize karibu Dunia nzima kuishutumu Russia kuhusu Ukraine, Merikani inafikia hatua hata ya kuonga baadhi ya mataifa ili yaunge mkono matakwa ya US dhidi ya Urusi ndani ya vikao vya UN, mataifa yaliyo kataa kuunga mkono US wanatishwa tishwa ovyo, kwamba waki kataa basi watanyimwa misaada ya kimaendeleo na kuwekewa vikwazo vya kiuchumi, we fikiria jamaa hawa walivyo wa ajabu - yaani nchi huru zinakuwa blackmailed kufuata matakwa ya Uncle SAM, watu wanasahau kabisa kwamba chanzo/mchochezi mkuu wa vita ya Ukraine ni US na Uingereza na wala si Putin, -hilo watu hawalikumbuki hata kidogo, badala yake wanataka kuonyesha Dunia jinsi Urusi na Putin walivyo wabaya na hatari kwa amani Duniani - kumbe madai yote hayo ni ulaghai na uongo mtupu.
 
Putin kama angeona kipindi hicho huenda hasira zingempanda na akalipiza kisasi huenda kwa ukatili zaidi.
Ulitaka ahusishwe kwenye uchunguzi ili iweje wakati yeye mwenyewe ni mtuhumiwa wa kufanya hujuma hizo?
 
Mimi ningekuwa karibu na hao Jamaa walioyabutua mabomba ya ges ningewapa Binti yangu Bure kabisa...,wametupunguzia kelele kwa kiasi kikubwa sana..,Lile Bomba lilikuwa linatumika kisiasa tu.., yahani fashisti Putin mwenyewe hiyo ges mara afungulie,mara afunge,yaani Ili mradi kick tu Ili kila mmoja ajue kwamba ulaya wanatumia ges kutoka urusi.., ulikuwa ni ujinga wa Hali ya juu sana

Alafu kama ulaya ndio wafaidika wakuu wa ges ya urusi,nyie pro Russia mnawashwawashwa nini mpaka maanzisha thread humu??..,
Si muwaache wafe tu Kwa baridi?.., maana hiyo itakuwa furaha kwenu.., mnaleta thread humu Ili tuwaonee huruma kwamba mnaonewa au lengo la kuleta thread ni nini hasa??

Pilipili usiyoila yakuwashia nini???

Ukweli ni kwamba kubutuliwa kwa Lile Bomba kumemaliza zile kick za ges..,mara hoo gesi imekuwa hivi..,mara hoo gesi imekuwa vile..,yaani Ili mradi kick tu..., tulieni hivyo hivyo.., ulaya na marekani wameamua wenyewe kuishi bila ges ya urusi kwani Kuna ubaya gani?

Vinginevyo, semeni wazi tu kwamba mnaumia kuona urusi anakuwa sio Tena supplier mkubwa wa ges barani ulaya,hapo mtaeleweka vizuri tu..,sio kuzungukazunguka kama kuku anayetaka kutaga,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Eti Ulaya na Marekani wameamua kuishi bila gas ya Russia,akili za wapi hizi?Si wangeweka sanctions kwenye hiyo gas?Hiyo ni hujuma ya US,amewazunguka EU Ili awauzie Kwa Bei mara 4 zaidi!Na viongozi wa EU kama mizombie tu,wameshikwa akili na US!Wananchi wao kila siku wanaandamana kupinga vikwazo dhidi ya Russia lakini Yenyewe yamebunda tu!
 
Sasa nimeelewa kwa nini nchi za magharibi hazikutaka kabisa kuihusisha Urusi kwenye kuchunguza kilichotokea kwenye mabomba ya gesi toka urusi. Tuliambiwa gesi ilivuja kumbe siyo kuvuja bali ILIMWAGIKA!! Kuvuja maana yake kuna tundu kwenye bomba.

Kumbe si tundu bali bombomba lilifumuliwa na kipande cha mita 40 kikanyofoka! Putin kama angeona kipindi hicho huenda hasira zingempanda na akalipiza kisasi huenda kwa ukatili zaidi. Baada ya muda kupita, vumbi linatulia hatimaye kampuni ya urusi inayoshughulika na uuzaji wa gesi ikaruhusiwa kujionea maafa!! Looh!! Kipande cha kueleweka cha mita 40 kilipigwa kombora kikanyofoka!

When the September blasts that damaged Nord Stream came up, the Russian president said that Gazprom was allowed to inspect the damage. Sweden had refused to involve Russia in the investigation, citing information “that is subject to confidentiality directly linked to national security.”

The blast “tore off” a 40-meter section of the pipe and separated the lines by 250 meters, Putin said, adding there was “a piece bent by 90 degrees and thrown against another part of Nord Stream.”
Sa si ndio wamejua sasa , Kwa nini Putin hasira zisimpande alipue lipue au hasira zake zko kama BP
 
Back
Top Bottom