Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
yaani sijui wanadhani kupitia kumpiga wanapunguza kelele wakati kelele ndio zinazidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika Hapo vyurani fc wenye akili ni wawili tu.Safi sana, ZIkisambaa clip mbili tatu za aina hii wale wote wanaojifanya Yanga kumbe ni makolo wanaotaka kuzungumza kwa lengo la kuichafua na kuleta taswira mbaya kwa club hususan timu ikifanya vibaya, Waogope. Sasa hivi mpaka uhojiwe inabidi uwe Shabiki kweli na unayejulikana ikibidi uwe na kadi ya mwanachama 😀 Hatutaki Mamluki
Sijajua kwa huko Dar ni nani anahusika na ku control jua,kwa huku kwetu Chuga anaitwa palanjo naye ana michezo hiyo sana hivyo huenda hayo malalamiko yana mashiko.Yanga walihujumiwa mechi ya jana,dube alipokuwa anataka kufunga kuna mtu alikuwa anapunguza mwanga wa jua,wabadilishe uwanja
Young African.. nateseka nayo.🤣Wewe timu gani Kenzy?
Nimeshangazwa pia na hii kituSasa Mtu anapigwa mnaishia kusema tu msimpige hata hamumsaidii? Huko wanakomkimbizia wakienda kumuumiza vibaya mtaishia kusema tu "alikuwa anatoa maoni akapigwa". Nchi bado sana hii. Sasa hii na lililokuwa linamkuta Bonge aliyekuwa anatekwa tofauti yake ni nini?.
Acha ituue hatuhami katu😀Young African.. nateseka nayo.🤣
😀 😀 😀Sijajua kwa huko Dar ni nani anahusika na ku control jua,kwa huku kwetu Chuga anaitwa palanjo naye ana michezo hiyo sana hivyo huenda hayo malalamiko yana mashiko.