Uchaguzi 2020 Huu u-chifu Zanzibar unakubalika?

Hahaha na bado mjiandae na Riz-One 2025, mtafanyaje wakiamua awe yeye.
 
Hivi hakuna watu wengine wanaoweza kuwa marais ,mpaka wawe watoto wa Marais wastaafu Muwe mnaelewa hoja .
Kwani wewe mgombea wenu si Seif?
Maana naona unaandika kama vile mmeshakubali kushindwa!

Hujalazimishwa kumchagua Mwinyi, wewe mchague huyo seif au atakaepitishwa na chadema.

Alafu, hivi hapo chadema hakuna mwingine wa kuwa mwenyekiti zaidi ya familia ya Mtei?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Kaulize wajumbe wa CCM ndo wamepiga kura, maana mlisema Jiwe anamtaka mbarawa sasa hayumo.

Kama hamtaki nendeni kwa maalim wenu,
Kama JK alivyo fanya nae mnae mtaka hayumo, hutaki toka
 
Endeleeni kusapoti mambo haya mtakuja kushtuka mambo yameshaharibika.
 
Mkuu sikukubli, ila ULICHOPOST ni bonge la LOGIC kuwa mtoto wa rais hamkimpunguzii haki kuwa mgombea
 
Mkiambiwa CCM ina wenyewe hua hamuelewi.

Hao ndio wenyewe sasa,masela wa pale Lumumba wao waendelee tu kuimba iyeeeeeeeeeeeeeeeena iyeeeeena iyeeeeeeeeena
Hahaha.....nawaonea huruma sn vijana uvccm wa pale lumumba maana kazi yao ni kutishia kuua wale wenye mawazo mbadala
 
Sina uhakika kama CDM na ACT wanaweza kuunganisha kura zao baadaye ili kuunda serikali. Sheria za uchaguzi zinasemaje?
Na hapo LISSU atapeta. ACT Wazalendo watachukua Zenji kupitia Maalim Sefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…