Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
Sultani alikuwa mgombea au mtawala?Usultan mnafanya nyinyi wapinzani, toka 1995 Hadi leo mgombea ni Maalim Seif.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sultani alikuwa mgombea au mtawala?Usultan mnafanya nyinyi wapinzani, toka 1995 Hadi leo mgombea ni Maalim Seif.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Vipi Membe mnampitisha lini kuwa mgombea?Chama cha kishamba na siasa zake za kishamba
Kwani wewe mgombea wenu si Seif?Hivi hakuna watu wengine wanaoweza kuwa marais ,mpaka wawe watoto wa Marais wastaafu Muwe mnaelewa hoja .
Kwani wakati mnasema hata mpitisha Mwinyi hamkujua kama kuna halmashauri kuu?Kwahiyo aliyempitisha ni Magufuri sio Halmashauri Kuu?
Kwani wewe ulikuwa unataka apitishwe nani? Mbona chadema mmepanic hivi?hatuwezi kuheshimu maamuzi mauchafu
And I promise after this 10 years uyo wa mwisho kwenye List yako nae Atakua Raisi.Kama wanna Sifa sioni shida na hussen Katia Nia na sio kawa rais. Mbarawa kuchukua au kakatwa kuchukua fomu?
Mkuu sikukubli, ila ULICHOPOST ni bonge la LOGIC kuwa mtoto wa rais hamkimpunguzii haki kuwa mgombeaAnahaki zake yeye kama yeye
amepigiwa kura na Wajumbe
kuwa mtoto wa Rais mstaaf hakumuondolei Haki zake kama Mzanzibar
kama unachuki binafsi Ndio hivyo sasa Kamchague wa Upinzani Maalimu
kila mwaka yeye
Alikuwa mgombea Huja balehe
leo unakaribia kupata mjukuu bado mgombea
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu alisha sema kuanzia sasa hadi October ni parefu lolote laweza tokea huyo ndiye Membe.
Hahaha.....nawaonea huruma sn vijana uvccm wa pale lumumba maana kazi yao ni kutishia kuua wale wenye mawazo mbadalaMkiambiwa CCM ina wenyewe hua hamuelewi.
Hao ndio wenyewe sasa,masela wa pale Lumumba wao waendelee tu kuimba iyeeeeeeeeeeeeeeeena iyeeeeena iyeeeeeeeeena
Kwani MWINYI hakukidhi vigezo vya kikatiba ili awe kuja kuwa mgombea?Usultani umerudi Zanzibar.
ACT Wazalendo imedhamiria kuona Membe anagombea upinzani iwe kwa tiketi ya umoja wa upinzani (ACT+CHADEMA) au ACT peke yake.
CHADEMA haina mpango na mgombea kutoka nje ina wagombea wa kutosha mpaka sasa 6 washachukua fomu na matarajio ni wagombea zaidi ya 10 kuchukua fomu.
Katika namna hiyohiyo CHADEMA imeonesha kutokutilia manani sana muungano wa vyama. Hivyo uwezekano wa vyama kuungana ni mdogo mno.
Kwakuwa Membe anapenda kugombea Urais na kwa ushawishi wa Zitto na ACT atajikuta anagombea kupitia ACT Wazalendo na CHADEMA ikamteua Lissu basi uchaguzi utakuwa ni ACT vs CHADEMA
Na hapo LISSU atapeta. ACT Wazalendo watachukua Zenji kupitia Maalim Sefu.
Na Shein Junior mwaka 2030 na Bara Bashite mwaka 2025 Kama CCM itapita Oktoba hii.Hahaha na bado mjiandae na Riz-One 2025, mtafanyaje wakiamua awe yeye.