Naona huko Zanzibar mnaleta mambo ya ki-chifu.
- Abeid Amani Karume-Rais wa Kwanza Zanzibar
- Aman Abeid Karume- Rais Mstaafu Zanzibar
- Ali Hassan Mwinyi -Rais Mstaafu Zanzibar na Tanzania
- Hussein Mwinyi -Mgombea urais 2020
- Ali Karume -Mgombea urais 2020