Huu uchawi nilikuwa siujui hadi siku ya jumapili iliyopita

Note: Mimi ni mshauri wa kiroho kwenye biashara ya mdau wangu na nimekuwa nikifika hapo mara kwa mara kumuongezea nguvu ili apige pesa zaidi.


Ni hayo tu.
Kuna mwenzio alipelekewa makombora mfululizo kesho yake akafunga biashara akakimbia maana maneno yaliyoongelewa ni aibu kwa yeye kuendelea kua eneo hilo
 
Kuna mwenzio alipelekewa makombora mfululizo kesho yake akafunga biashara akakimbia maana maneno yaliyoongelewa ni aibu kwa yeye kuendelea kua eneo hilo
Vita vya kiroho ni vita vya maneno.
Ndio maana Mungu alipotaka Kumtumia Ezekiel kwenye kazi ngumu na mazingira tata,

Alianza kumuandaa moyo kupokea maneno magumu. Alimpa tahadhari zaidi ya mara tatu dhidi ya maneno.
Pia alimfanya awe na uso wa gumegume sugu hata umwambir nini harudi nyuma.

Ukiwa soft na unapitika kwa maneno ya watu, hakuna utakachotoboa. Majini yanafanya kazi kupitia maneno ya mawakala wao
 
𝒉𝒂𝒕𝒂 𝒘𝒆 𝒖𝒏𝒂𝒌𝒊𝒕𝒖 𝒖𝒔𝒊𝒅𝒂𝒏𝒈𝒂𝒏𝒚𝒆 𝒘𝒂𝒕𝒖. 𝑲𝒖𝒏𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒖 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒋𝒊𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒔𝒂𝒍𝒊 𝒌𝒖𝒎𝒃𝒆 𝒏𝒈𝒐𝒛𝒊 𝒚𝒂 𝒌𝒐𝒏𝒅𝒐𝒐
 
Bila shaka huwa unaondoka na chochote baba mshauri wa kiroho wa biashara ya mdau.
 
Bila shaka huwa unaondoka na chochote baba mshauri wa kiroho wa biashara ya mdau.
Nimegundua wengi humu ni wahanga wa kuombwa sadaka. Hahahaha.
Mkuu mimi ninasystem zangu za kupata vipato. Hivyo vya wadau nachagua kama nabii Elisha. Alikataa mamilioni ya Naaman Msiria akachukua sadaka ya makazi kwa mama mshunami.
Huyu ni mdau wangu na partner kiuchumi sio chanzo cha sadaka.

Kuitumikia serikali ya Ufalme unaotwala trillions za sayari katika universe ni akili ndogo tu isiyojitambua ndio itakuwa inavizia sadaka kama mshahara. Mimi fedha ni 1% ya mshahara wangu kutoka kwa Mungu 99% ya mshahara anaonipa Mungu hauwezi kudhaminishwa kwa fedha.
 
Toa lipa namba tupo tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…