Huu uchawi nilikuwa siujui hadi siku ya jumapili iliyopita

Huu uchawi nilikuwa siujui hadi siku ya jumapili iliyopita

Kitu nilichogundua wabongo tunaamini sana ushirikina.

Ila mimi nashangaa life langu linasonga tu sijawahi hata kwenda kwa mganga, kwenda kwa mitume kuombewa, kuamini nguvu za kichawi, au kuhisi nimerogwa, kuvaa hirizi au kuogea chumvi ya mawe. Na sijawahi kuamini jambo langu lisipofanikiwa basi nimerogwa

Kwa kifupi sijawahi kuwaaamini wachawi, waganga na wachungaji sijui manabii na makuhani

Mimi ni Mungu tu ndiye namuamini katika yote nje ya hapo vingine vilivyobaki ni njia za Shetani tu kuwaweka kando na Mungu

Najihisi niko huru sana. Ukitaka uwe mtumwa na kupoteza muda na pesa anza kuamini ushirikina (wachawi), waganga na wale wa maombezi makanisani na wale wanaojiita washauri wa kiroho
 
Mungu aendelee kukupa ulinzi.
 
Dunia inamengi.

Kuna mshkaji wangu amefungua biashara mahala hapa jijini. Mambo yanaenda kasi na anafanikiwa kiasi kwamba aliowakuta wengine wanafikiria kufunga wengine wamepata presha kwa kuhofia hatma yao.

Ghafla vita vikali vikaanza. Kama kawaida sisi watu wa dua huwa hatushindwi na ushirikina. Kila shambulio tulihakikisha linapanguliwa na dua. Mwenyewe nimeshiriki kutia dua kwenye hiyo bizness.

Juzi kaja dada mmoja katumwa kaanza kutukana matusi na kulazimisha ugomvi (huku waliompanga wamekaa kwa mbali wanafuatila mchakato waliouset ), dua zikatuelekeza kunyamaza kimya. Kataka kurusha hadi mawe, sisi kimya. Alipoona lengo halitimii akaamua kuondoka.

Mfanya biashara pembeni akatutonya kuwa mmeepusha jambo kubwa. Huo uchawi upo, mtu anatumwa kuja kukuchokoza ili upaniki na kujibishana. Ukifanya hivyo tu unakuwa umefungua njia ya ule uchawi kufanya kazi. Yule jamaa akadai kwao watu wanapigwa sana kwa njia hiyo. Basi tukamwambia haina shida huku tukijua dua hupangua hila zote za kishirikina.

Note: Mimi ni mshauri wa kiroho kwenye biashara ya mdau wangu na nimekuwa nikifika hapo mara kwa mara kumuongezea nguvu ili apige pesa zaidi.

Ni hayo tu.
Uchawi mdogo sana huo ni WA shilingi 200 huku namanyere
 
Sema chumvi ya mawe inanguvu Sana huwezi kupigwa uchawi

Tangu nianze kutumia chumvi ya mawe wachawi wa mtaani hawanisalimii wakati Mwanzo walikuwa wananipa hadi chakula kiufupi nimewathibiti
Kyoma unaitumiaje hebu okoa wengi
 
Trust me mwsho wa siku mtaishia kuwa maadui na huyo jamaa ako, na utaonekana mchawi, Cha pili huna kazi za kufanya mpaka Kila sku kwenye biashara za watu
 
Back
Top Bottom