Huu ugeni Kisiwa cha Mkizi ni wa kweli?

Huu ugeni Kisiwa cha Mkizi ni wa kweli?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?

Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?
41728132-438d-4d3f-9d31-e4f2c12157dc.jpeg
f0d00453-2f4e-4495-9aa5-8cf609aa40b7.jpeg
 
Haipendezi kuandika hivi
 
Back
Top Bottom