Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Broo nimetoka kapa, code hazisomeki kabisa, au mimi kichwa ngumu?Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?
Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?View attachment 3411163View attachment 3411164
Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?
Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?View attachment 3411163View attachment 3411164Bwana alitoa na..........Jina la Bwana lihimidiweee
nenda duka la Mkuki na nyota utavipata vyoteMkuu Mshana Jr hivi nakipata wapi kitabu cha alfu lela hu lela?
Ni kweli kabisaa alivotoka magu tulisherekea ila kilichofuata ndo balaa zaidi, tusimame na NRNEHaiishi mpaka iishe. Hata akiondoka huyu, bado litaibuka kundi jingine ambalo linaweza kuwa baya zaidi. Don't up your hope.
Bwashee upo mzima au gari limewakaHaipendezi kuandika hivi
Mene mene tekel upharsinKwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?
Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?View attachment 3411163View attachment 3411164
Fungua code ufungwe.Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?
Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?View attachment 3411163View attachment 3411164
gari lipo kwenye leri mkuu..Bwashee upo mzima au gari limewaka
Siwapati hawa mkuu japo nimekisikia mara nyingi hiki kitabu lakini sijawahi kukisoma.Kina nudrini na wale chongo🤣🤣🤣🤣
Aladini na taa ya ajabu🤣🤣🤣Siwapati hawa mkuu japo nimekisikia mara nyingi hiki kitabu lakini sikawahi kukusoma.