Mshana na KiswahiliKwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?
Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?View attachment 3411163View attachment 3411164
Huyo ni mteja na pioneer wa vilinge vya waganga wa kienyejiTrue meaning of a great thinker!💪
hadithi zenye asili ya kale kidogo naona zinaushawishi kuzisoma tofauti na hizi ambazo zinaongelea maisha ya kileoNdani ya mwezi nimesoma vitabu 15 vya hadithi za kiswahili 😇
Hii siijui.Mchuuzi wa vitambaa na binti mfalme😅
Mimi na gonga zote tu bwashee , naona hata kiswahili changu kinaimarika kila siku😅 bia ya sita kwa sasa bwashee.hadithi zenye asili ya kale kidogo naona zinaushawishi kuzisoma tofauti na hizi ambazo zinaongelea maisha ya kileo
Sawa mkuu kula bia, kula bia.Mimi na gonga zote tu bwashee , naona hata kiswahili changu kinaimarika kila siku😅 bia ya sita kwa sasa bwashee.
Safi sana, kusoma vitabu ni masturbation ya ubongo.Ndani ya mwezi nimesoma vitabu 15 vya hadithi za kiswahili 😇
Tunaomba yaishe kwa usalama.Mama ana mazuri na mabaya yake anaingizwa choo cha kiume na chawa wake kiasi cha kwamba inakuwa vigumu kutambua kama anadanganywa hadi Pole Pole alipokisanua.Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?
Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?View attachment 3411163View attachment 3411164
Kifo ni kifo tu! Acha drama!Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?
Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?View attachment 3411163View attachment 3411164
Now nipo kisiwa cha Madagascar sehemu ya tatuSafi sana, kusoma vitabu ni masturbation ya ubongo.
MnoSawa mkuu kula bia, kula bia.
Wahuni wanufaikaji makondoo