Waswahili wa pemba mna maneno utadhani kuna ukweli kumbe ni kunogesha jukwaa tu.Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?
Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?View attachment 3411163View attachment 3411164
Labda sio mchinaHuyo haliwi😀😀
(6,527) Tujikumbushe: Africa writers series | JamiiForums Tujikumbushe: Africa writers seriesVipo vingi hivyo vitabu vya alfulela hulela?
Hilo duka linapatikana mtandaoni?
Ubwabwa kwa hisani ya CHAUMMA. 😆🤣Mimi sitaki kujua kama tunazka au tunasafirisha kikubwa msiban uwepo ubwabwa wa kutosha bc
Hilo duka liko Samora Avenue. zamani lilikuwa duka la TPH ni vipo vyote kama uliwahi visoma mtandaoni labda watafute instagram mkukinanyotaVipo vingi hivyo vitabu vya alfulela hulela?
Hilo duka linapatikana mtandaoni?
Aisee!! Masantura!! 🤣🤣🤣🤣🤣Huwa nakukubali sana mzee mwenzangu
CCM yote itokeNi kweli kabisaa alivotoka magu tulisherekea ila kilichofuata ndo balaa zaidi, tusimame na NRNE
Safari saba za Sindbad BahariaAladini na taa ya ajabu🤣🤣🤣
Mshechu ameshaanza kutunga wimbo na Steve Nyerere atapita kila nyumba kuchangisha rambirambiKuna nini mshana?
Mshonaji , maskini na sarafu ya uchawi😅Safari saba za Sindbad Baharia
Hizi hadithi noma unakumbuka alijishona kwenye ngozi ya kondoo akachukuliwa kwenye kile kisiwa🤣🤣🤣🤣Safari saba za Sindbad Baharia
Hata Picha huwezi kusoma?Haipendezi kuandika hivi
Me hz nyuz kadri zinavyoongezeka kila kukicha na me naongeza Kasi ya kutafuta pilipili make najua msiban huwa hawatupi pilipili ya kutosha 😂😂Ubwabwa kwa hisani ya CHAUMMA. 😆🤣
Soma Picha mkuu inatosha!Mleta mada unataka tutumie nguvu nyingi kukuelewa ili iweje kwa mfano? Hatuna huo muda mambo ni mengi