Kwa hiyo suluhu ni nini ?Haiishi mpaka iishe. Hata akiondoka huyu, bado litaibuka kundi jingine ambalo linaweza kuwa baya zaidi. Don't up your hope.
Kwa hiyo suluhu ni nini ?Haiishi mpaka iishe. Hata akiondoka huyu, bado litaibuka kundi jingine ambalo linaweza kuwa baya zaidi. Don't up your hope.
Vipo vingi hivyo vitabu vya alfulela hulela?nenda duka la Mkuki na nyota utavipata vyote
Ahaaaa!!!Its no longer at ease or things fall apart
mtandaoni au mpaka niifate huko ilipo?Tanganyika library
😂😂😂 hii hadithi nakumbuka nimewahi kuisoma humu jf.Aladini na taa ya ajabu🤣🤣🤣
NrNe; Mabadiliko ya katiba yataweka uzio kwa wahuni kukamata Dola tumejifunzaHaiishi mpaka iishe. Hata akiondoka huyu, bado litaibuka kundi jingine ambalo linaweza kuwa baya zaidi. Don't up your hope.
Ndani ya mwezi nimesoma vitabu 15 vya hadithi za kiswahili 😇😂😂😂 hii hadithi nakumbuka nimewahi kuisoma humu jf.
Sinbad baharia😅Kisiwa chenye hazina
Na hii nimeisoma nimekumbuka ililetwa na Bujibuji Simba Nyamaume ngoja nikautafute ule uzi pengine nitapata uelewa wa kukipata hiki kitabu.Sinbad baharia😅
Mchuuzi wa vitambaa na binti mfalme😅Na hii nimeisoma nimekumbuka ililetwa na Bujibuji Simba Nyamaume ngoja nikautafute ule uzi pengine nitapata uelewa wa kukipata hiki kitabu.
Sasa mzee mwenzangu huu muda inafaa uwe kama Gwajima. Acha mipasho ya pwani muda ni mchache kufika October.Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?
Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?View attachment 3411163View attachment 3411164
Huyo haliwi😀😀View attachment 3411156
Ngoja kwanza nifate kitunguu