HhhhKuna nini mshana?
Yule mzee alikuwa mnafiki sana"Mama Tanzania" kwa sauti ya James Mbatia
Una kipaji kikubwa cha muziki wa Taarabu. Jiunge na Isha Mashauzi kuna hela zako nyingi huko. Utakuwa unamtungia nyimbo.Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?
Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?View attachment 3411163View attachment 3411164
Hiki ndicho nilichokuuliza PM bwasheeNdani ya mwezi nimesoma vitabu 15 vya hadithi za kiswahili 😇
Aliwahi kusema mhindi mmoja; "Kubwa yao ndiyo jinga yao hiyo hiyo"Kuchoshana tu
Inasikitisha sana kuona watu wazima wakiwa hawapo serious na maisha! Kwanini hata wasifungue genge wauze nyanya? Ama wakalime?
Nikutumie vitabu?Hiki ndicho nilichokuuliza PM bwashee
Tuta deal nalo kivyake, acha hili uaji na tekaji liondoke kwanzaHaiishi mpaka iishe. Hata akiondoka huyu, bado litaibuka kundi jingine ambalo linaweza kuwa baya zaidi. Don't up your hope.
Mkuu Mshana Jr hivi nakipata wapi kitabu cha alfu lela hu lela?
Ngoma ya mpwita 😂😂😂Aisee!! Masantura!! 🤣🤣🤣🤣🤣