Huu ugeni Kisiwa cha Mkizi ni wa kweli?

Huu ugeni Kisiwa cha Mkizi ni wa kweli?

Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?

Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?View attachment 3411163View attachment 3411164
Shemeji sukuelewi wajua....
 
Kina nudrini na wale chongo🤣🤣🤣🤣
Hapa kuna muhtasari wa hadithi mojawapo maarufu kutoka Alfu Lela Ulela (Arabian Nights):

Hadithi ya Aladdin na Taa ya Ajabu

Muhtasari:
Aladdin alikuwa kijana masikini aliyeishi na mama yake. Siku moja, mchawi kutoka mbali alijifanya mjomba wake na kumshawishi Aladdin aingie kwenye pango lenye hazina kubwa. Lengo lake lilikuwa kumtumia Aladdin kuchukua taa ya kichawi iliyokuwa na uwezo wa kuitwa jini mwenye nguvu za ajabu.

Aladdin alifanikiwa kuipata taa, lakini akagundua nia ya mchawi na hakumpatia. Aliporudi nyumbani, bila kujua uwezo wa taa, aliisugua—na hapo jini mkubwa akatokea tayari kutimiza matakwa yake.

Kwa msaada wa jini, Aladdin alipata mali, heshima, na baadaye alimuoa binti mfalme. Hata hivyo, mchawi yule yule alirudi na kujaribu kuiba taa, lakini Aladdin, kwa werevu na msaada wa jini, aliweza kumshinda.

Maadili ya hadithi:
  • Uaminifu na hekima huleta ushindi.
  • Tamaa na udanganyifu huishia kwa hasara.
  • Mtu mdogo anaweza kufanya mambo makubwa kwa msaada sahihi.

Binafsi nimesoma hicho kitabu mara nyingi miaka mingi kidogo iliyopita, lakini muhtasari huu umeandaliwa na ChatGBT
 
Mamtu ya CCM kumbe hayajui hata utaratibu wa kupata mgombea wao wenyewe, ni aibu kubwa sana yanahitaji zaidi ya no reform no election, imagine kukosoa au maoni wasiyokubaliana nayo ni kifo, kesi au kupotezwa, huyu mama shetani must go
Dragon must go,siyo?
 
Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?

Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?View attachment 3411163View attachment 3411164
Anko agiza safari na mdudu hapo ulipo Kisha tuma lipanamba ya TTCL,case 🔒
 
Nipo hapa nasoma tafiti za watu tofauti zinazohusu NDE. Karibu watafiti wote wanataja findings zile zile
 
Kwenu studio
FB_IMG_1753027813813.jpg
 
Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?

Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?View attachment 3411163View attachment 3411164
Jukwaa la wazushi Muhimu sana
 
Back
Top Bottom