Huu ugeni Kisiwa cha Mkizi ni wa kweli?

Huu ugeni Kisiwa cha Mkizi ni wa kweli?

Kila mara naingia humu labda nitakuta Breaking News nyekundu
Yaani hata "kijimkaa" chenye moto unaofifia bado hukioni mkuu, wewe unataka "mkaa wenye moto mwekundu" tu basi?
Subiri basi, hicho "kijimkaa" kinachofifia kitakaPo chochewa karibuni, utaona siyo "Breaking Nyekundu" tu; bali Tanzania yenye tabasamu.
 
Leo zimeibuka threads nyingi sana, bahati mbaya sikuwa hewani so I don't know, what's cutting guys?
 
Raha na ladha ya utumbo unuke manure sio unukie shurubati
 
Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka?

Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi
Mipasho ya kipwani inasema... Ukisusa..!? Wenzie wala...😂😂😂 Nani asuse sasa wakati masega ya asali kama yote... Tatizo ni mkwezi badala ya tembo kulitia mma yeye kaenda kwenye mzinga wa nyuki kisha karusha kijinga cha moshi😎
Soma Alfu lela ulela( siku elfu na moja 1001)
Kisha kasome Adili na nduguze..!
Kimbia vyote... Ogopa vyote lakini sio kivuli chako!
Hivi kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha kweli? Shida kuna vinyago ni minyago na inapumua😂
Kama ugeni umetamalaki pwani ya Kiwengwa.. Basi kumekucha... Tujiandae kuanua tanga... Je tutazika ama tutasafirisha?View attachment 3411163View attachment 3411164
Boys II Men - end the road => This is song 🎵 ...
 
IMG-20250719-WA0010.jpg
 
Back
Top Bottom