Ilikua makusudi au bahati mbaya? Hujasema vizuri hapatukiwa umbali wa kilometer kama 100 hivi yule mmama alidondosha kitu akaacha kukiokota akawa anaendelea kutembea,
Maana yake kwenye Million 64 hapo Million 62 wapo safi kabisa ukiondoa hao 1.9M sio kwa ubaya
Na yeye si amesema alikua ametoka kuchukua dawa zake sasa ampatie dawa zake na yeye anazo za kwake au mimi ndio sijamwelewa?Naww kwanini hukumpatia dawa zake.
Sasa hapo mkuu huyo mgonjwa amenyanyapaliwa kivipi? watu wamemshtua kua ameangusha dawa zake ila yeye mwenyewe akakausha,Pale ndio nilopojisemea wagonjwa wa ukimwi kwenye jamii yetu bado wananyanyapaliwa ni vile tu hawaugui kama mwanzo kutokana na kuwepo kwa ARVs lakini pia wanaogopeka balaa.
Sitomalizia kusoma huu uzitukiwa umbali wa kilometer kama 100 hivi yule mmama alidondosha kitu akaacha kukiokota akawa anaendelea kutembe
Kilometer 100Jana katika tembea tembea zangu nikakutana na mmama anatembea kwa miguu, tukiwa umbali wa kilometer 100 hivi yule mmama alidondosha kitu
Na walioungua na hawatumii dawa kuna takwimu zao?
Nimetafuta sehemu huyo mwanamama aliponyanyapaliwa kwenye maelezo ya uzi nimeikosa wallah!Sasa hapo mkuu huyo mgonjwa amenyanyapaliwa kivipi? watu wamemshtua kua ameangusha dawa zake ila yeye mwenyewe akakausha,
Je na wewe unahusika na wale wote waliomyanyapaa? kama hauhusiki,ulichukua hatua gani ili na wewe usionekane kua umemyanyapaa?
Kilometer 100
Aisee!
tukiwa umbali wa kilometer kama 100 hivi ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ Far Chalinze hiyo ujueJana katika tembea tembea zangu nikakutana na mmama anatembea kwa miguu, tukiwa umbali wa kilometer kama 100 hivi yule mmama alidondosha kitu akaacha kukiokota akawa anaendelea kutembea, kwa mbali naona ishara za watu wakistua nimstue yule mama arudie kitu alichodondosha nami sikuelewa tukapishana kila mtu na zake
Kusogea mbele nakuta kumbe alidondosha dawa ni nyingi sana yaani zimetapakaa njia nzima na nikubwa kiasi, zimekaa kama AZUMA lakini ni kubwa kuliko azuma, binafsi sikujua ni dawa gani ila niliowakuta pale wanasema ni dawa za kufubaza virus vya VVU, na kuna mmoja anasema ndio maana yule mama na kustuliwa kote kule hakugeuka akaendelea kuondoka
Pale ndio nilopojisemea wagonjwa wa ukimwi kwenye jamii yetu bado wananyanyapaliwa ni vile tu hawaugui kama mwanzo kutokana na kuwepo kwa ARVs lakini pia wanaogopeka balaa.
๐๐๐
Kitu cha kwanza kunote 100KM!
Nikajisemea J, mengine yanyamazie
Wanafiki tu hao watembea kwa miguu wenzako.Ikiingia giza tu wanagegedana kuliko simbilisi tena bila tahadhari muhimu.Jana katika tembea tembea zangu nikakutana na mmama anatembea kwa miguu, tukiwa umbali wa kilometer kama 100 hivi yule mmama alidondosha kitu akaacha kukiokota akawa anaendelea kutembea, kwa mbali naona ishara za watu wakistua nimstue yule mama arudie kitu alichodondosha nami sikuelewa tukapishana kila mtu na zake
Kusogea mbele nakuta kumbe alidondosha dawa ni nyingi sana yaani zimetapakaa njia nzima na nikubwa kiasi, zimekaa kama AZUMA lakini ni kubwa kuliko azuma, binafsi sikujua ni dawa gani ila niliowakuta pale wanasema ni dawa za kufubaza virus vya VVU, na kuna mmoja anasema ndio maana yule mama na kustuliwa kote kule hakugeuka akaendelea kuondoka
Pale ndio nilopojisemea wagonjwa wa ukimwi kwenye jamii yetu bado wananyanyapaliwa ni vile tu hawaugui kama mwanzo kutokana na kuwepo kwa ARVs lakini pia wanaogopeka balaa.
ila c wapya ambao bado kuanza doz wapo pia na hao watu si wachache mkubwa huwez mgundua usijichetue.Maana yake kwenye Million 64 hapo Million 62 wapo safi kabisa ukiondoa hao 1.9M sio kwa ubaya
Watu waliokuwa wanajua zile dawa ni za nini wengi wao walikuwa wanacheka kwa kebehi na walikusanyika wengi sana kiasi kwamba yule mtu angerudi kuzichukua angejihisi vibaya sana ni bora alivyoondokaSasa hapo mkuu huyo mgonjwa amenyanyapaliwa kivipi? watu wamemshtua kua ameangusha dawa zake ila yeye mwenyewe akakausha,
Je na wewe unahusika na wale wote waliomyanyapaa? kama hauhusiki,ulichukua hatua gani ili na wewe usionekane kua umemyanyapaa?