Huu uhaba wa dola unasababishwa na miradi ya pupa aliyoianzisha Magufuli akijitapa sisi ni matajiri

Alie anzisha fake ID aliwasitili sana Mapopoma.
Magufuli aliacha reserve nyingi pale BOT, Mmeikomba mkaishusha hatari. Sasa hivi mnagawana tu hadi Bungeni Mnagawana Mitungi afu mnasingizia miradi inayoendelea kujengwa kwa pesa za Mikopo.

Sera mbovu za kukomba kila kitu kwa wananchi kupitia TOZO mnashindwa kutumia sera za kuvutia wawekezaji wakubwa wakubwa na maizo nje ndio zinafanya haya yote.
 
Mbaazi zikikosa kuzaa husingizia jua !!
 
Mtu amekufa miaka 2 huku bado unamsingizia mambo yenu baada ya kushindwa kujenga nchi
 
Acha uongo mtoa post ni aibu Kwa mtu mzima kama wewe kuandika chuki zako uliloandika hapa wenye AKILI zetu tunakucheka kwa ujinga huu ulioandika,tangu lini miradi ikamaliza dola?????

Shame on you
 
Wewe hata mmeo akishindwa kusimamisha ili akupande unamlaumu Magufuli.
 
Acha uongo mtoa post ni aibu Kwa mtu mzima kama wewe kuandika chuki zako uliloandika hapa wenye AKILI zetu tunakucheka kwa ujinga huu ulioandika,tangu lini miradi ikamaliza dola?????

Shame on you
Miradi inakula fedha za nje, vifaa vinaagizwa nje
 
Magufuli anahusika vipi? Wewe ni mpumbavu??
 
Time will Tell.
Mmesomesha wataalamu lakini hamwasikilizi wala kuwatumia. Nchi huongozwa na economists na W/Diplomasia wa Uchumi, waliosoma. Mf. Havard, Oxford, Edinburg, Ezra Cornel. Sio Wakemi* wa Gamboshy
 
Usipoolewa safari hii utakuwa huna bahati aisee...
 
Marehemu anawatesa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…