JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Alie anzisha fake ID aliwasitili sana Mapopoma.Miradi inatumia fedha nyingi za kigeni kufanya imports ya vifaa na kulipa wakandarasi
Miradi mingi inatumia mikopo ambayo imeshaanza kulipwa kabla hata matunda ya mradi hayajaanza kuingiza kipato
Haya mambo tulitarajia na tuliyasema kabla
Profesa wa Chuo Kikuu Oxford amshauri Rais Samia kuhusu miradi aliyoianzisha Hayati Magufuli kwa pupa
Profesa wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford amemshauri serikali ya Samia kuwa na uangalifu kuhusiana na kutekeleza miradi mikubwa aliyoianzisha Magufuli kwa pupa kwa kuwa inaweza kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa yatakayoathiri uchumi wake Magufuli alipoingia madarakani alianzisha...www.jamiiforums.com
Magufuli aliacha reserve nyingi pale BOT, Mmeikomba mkaishusha hatari. Sasa hivi mnagawana tu hadi Bungeni Mnagawana Mitungi afu mnasingizia miradi inayoendelea kujengwa kwa pesa za Mikopo.
Sera mbovu za kukomba kila kitu kwa wananchi kupitia TOZO mnashindwa kutumia sera za kuvutia wawekezaji wakubwa wakubwa na maizo nje ndio zinafanya haya yote.