Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

MtotoKautaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
373
Reaction score
895
Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar....

Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya.

Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume.

Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa nampeleka na kumrudisha Kwa pikipiki yangu.

Muda mwingine ananiagiza vinywaji na vi chips, mwanzo nilikuwa mvumilivu. Siku zikaenda nikaomba mzigo akawa ana4uka ruka oooh ngoja tuzoeane kwanza na tuchek afya nikamwambia swala la afya hakuna shida tupime tu anytime bado akawa analeta ujanja ujanja hataki kuingia kwenye mfumo wa Baltazar.

Muda huo vimizinga vidogovidogo kama vyote, siku moja tupo kitaa usiku tukapita karibu na home napokaa basi nikamwambia tupite kwangu upaone hakubisha tukapaki nje tukaingia ghetto.

Kufika ghetto nikaanza mipapaso akasema siku nyingine atakuwa anakuja tunalala kabisa na tutaenjoy Dunia ila Kwa siku hiyo tuache kwanzia mpka tupime sikupinga kwasabab zile sababu zilikuwa na mashiko.

Siku zikaenda kunikwepa kukaendelea ahadi zisizotimizika sasa leo kaniomba hela ya kusuka nikaamua nimtolee uvivu nikamwambia pesa sina.

Alivojichanganya ni kuliuliza kwanini sina pesa hapo nikapata loop hole ta kuruka naye ki master, the rest is history
 
Unajiita jasili wakati hata ubartazal hujaufanya hapo ilitakiwa ubalance mzani kwa kubaltazalisha kwanza ndo uvimbe na ukae ukijua ujanja wa mwanamke ni kumvua pichu ukishamvua thaman yake inashuka ila hapo wewe ni hamnazo
 
Acha umalaya mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…