Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

Halafu kichwa kinataja "..kwenye mahusiano..." kwenye thread mtu hujawahi hata kumla zaidi ya yeye kula hela zako.. huyo kama ana mahusiano basi ni mahusiano na hela zako za boda boda, sio na wewe.
Me siyo boda na kimla siyo shida kwasabab nina asilimia mia nipe siku mbili ntakuwa nishamla
 
Baltazar ni brand nowdays
FB_IMG_1731251608837.jpg
 
Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar...........

Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya.
Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume.

Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa nampeleka na kumrudisha Kwa pikipiki yangu.

Muda mwingine ananiagiza vinywaji na vi chips, mwanzo nilikuwa mvumilivu. Siku zikaenda nikaomba mzigo akawa ana4uka ruka oooh ngoja tuzoeane kwanza na tuchek afya nikamwambia swala la afya hakuna shida tupime tu anytime bado akawa analeta ujanja ujanja hataki kuingia kwenye mfumo wa Baltazar.

Muda huo vimizinga vidogovidogo kama vyote, siku moja tupo kitaa usiku tukapita karibu na home napokaa basi nikamwambia tupite kwangu upaone hakubisha tukapaki nje tukaingia ghetto.

Kufika ghetto nikaanza mipapaso akasema siku nyingine atakuwa anakuja tunalala kabisa na tutaenjoy Dunia ila Kwa siku hiyo tuache kwanzia mpka tupime sikupinga kwasabab zile sababu zilikuwa na mashiko.

Siku zikaenda kunikwepa kukaendelea ahadi zisizotimizika sasa leo kaniomba hela ya kusuka nikaamua nimtolee uvivu nikamwambia pesa sina.

Alivojichanganya ni kuliuliza kwanini sina pesa hapo nikapata loop hole ta kuruka naye ki master, the rest is historyView attachment 3148855
Sema umejielezea sana mjomba yani hizo ni dalili umeumia kuombwa hela kama huna unasema sina sasa wewe mtu anakujibu short umekazana kupiga essay 😄
 
Back
Top Bottom