Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

Hii script Iko kwa videmu vingi under 30! Wanahalalisha kupata huduma bila wao kutoa huduma!
Kama muda wa kutoa penzi haujafika basi usianze kunufaika na penzi kwa kudai pesa!
 
Umeanza vizuri, story inaonyesha hasara iko palepale ingawa hujamaliza story
Mwaba alianza vyedi ila kamaliza hovyo bwana . Mimi nimecheka sana hapo aliposema "akawa anaruka rula kuingia kwenye mfumo wa Baltazari" 😂.
Nikahis huko mbele atamaliza kibabe sana ila kahitimisha kinyonge sanaaaaaaa.
Maelezoooo meeengi halaf manzi kaishia kusema "ok".
Hii ni knockout mbaya sana kijana wetu kapigwa
 

Attachments

  • Screenshot_20241019_184652.jpg
    Screenshot_20241019_184652.jpg
    33 KB · Views: 3
Wewe mtoto wa 2000 nesi si demu wa kuweka huyo unapiga na kutembea
 
Kifupi hiyo pisi haijakuelewa, unajieleza sana yeye anakujibu "OK" bado tu hujiongezi??? All in all TAFUTA PESA
 
Back
Top Bottom