S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Sep 21, 2024 #1 Hebu JamiiForums mjiridhishe kama kweli huu ujumbe ni wa Liissu. Pia, ikiwezekana, muwasiliane na Lema au Lissu mwenyewe. Nina mashaka na aina hii ya uandishi kama kweli ni wa Lissu.
Hebu JamiiForums mjiridhishe kama kweli huu ujumbe ni wa Liissu. Pia, ikiwezekana, muwasiliane na Lema au Lissu mwenyewe. Nina mashaka na aina hii ya uandishi kama kweli ni wa Lissu.
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Sep 21, 2024 #2 Sasa wewe si umpigie Simu Lissu umuulize Mwenyewe