Huu ujumbe kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA mmeupata?

Huu ujumbe kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA mmeupata?

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Leo mapema nimepokea hii message kutoka mamlaka ya Mawasiliano TCRA wakinihimiza nitumie mitandao ya kijamii vizuri je ni mimi peke yangu ana wengine pia mmeupata na kwanini wanafanya kwa nini mitandao ya simu inaruhusu huu ujinga?
1760359028444.png
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
ni ujumbe maridhawa kwa wanaojifanya wanaharakati watovu wa nidhamu
 
Yaani mimi bora ujumbe huu wa TCRA, ila wa TAKUKURU Ule wala sijaulewa wananaanisha nini..
 
Leo mapema nimepokea hii message kutoka mamlaka ya Mawasiliano TCRA wakinihimiza nitumie mitandao ya kijamii vizuri je ni mimi peke yangu ana wengine pia mmeupata na kwanini wanafanya kwa nini mitandao ya simu inaruhusu huu ujinga?
Hawa nadhani ni moja ya nilio-"delete and block"
 
Kutumia vizuri ndio kukoje?
Maana yake sifia na uwapambe Kwa Kila maneno matamu unayo yajua hata akikohoa wewe tengeneza maneno mazuri ukisifia kikohozi Cha mama sema kihohozi Chake kina sauti nzuri

Hapo utapongezwa na utaambiwa wewe ni mzalendo na unadumisha amani
 
Back
Top Bottom