Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afanye hivyo haraka sana ... tunakamuliwa mpaka damu waziri kafa ganziMakonda atalipigia simu na lenyewe siku wananchi wakilia kuhusu bando .limechukia kusikia kijana hatamkana baba yake hata awekewe bastola
Itakuwa shughuli pevuMakonda atalipigia simu na lenyewe siku wananchi wakilia kuhusu bando .limechukia kusikia kijana hatamkana baba yake hata awekewe bastola
(JK - JPM + SSH) X Makonda + z = ?kwa upepo wa sasa wa siasa unavyoenda unahisi huu ujumbe wa Nape Nnauye unamlenga nani?View attachment 2810424
Hatari sana..[emoji1][emoji1], hivi ni kweli CCM hawajui bila JPM uchaguzi ujao angejitokeza tu mtu akamtumia JPM walikuwa wanaondoka? bado kuna watu wanaamini JPM aliiba kura...!!??? Pathetic..Makonda kawashika nyeti