Yule ni mpambe wa rais, sio mlinzi wa Rais.Mkuu hatuongelei walinzi tunaongelea VIP PROTECTION- umeelewa. Wewe ulishamuona yule jamaa nyuma y JPM anatoka- hata wakati tnamuuga JMP alikuwa naye.
Mm naona kama ulinzi haukuwa kwa mbowe pekee bali kwa tundulisu na lemaKwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA
Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja
Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango
Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
Huyo bwire ushahidi wake ndo utatupa mwanga, nini ni niniKikubwa kesi imeshajiweka wazi, tusubiri hukumu kila mtu anatambua serikali wakosea kuandaa ushahidi
Hata kama ni wewe uvunjiweclub yako, uharibiwe biashara zako,, utakosa kuwa na kinyongo kweli?,,Mkuu nakubalina na wewe hakuna sheria inayokatza mtu kulindwa hata bila kujali huo umaarufu. Hoja yangu hapa ni kuwa kwanini walinzi hao hawakuwa na Mbowe.
Exactly [emoji817]% ccm waliogopa hilo. Wakaamua kuwabambikia kesiHili la makomandoo wa jeshi la wananchi kumlinda Mbowe ndio limewavuluga wahuni wote na wasiojulikana.
Tokea Uhuru wa taifa hili hakujawahi kutokea mwanasiasa especially wa chama Cha upinzani kulindwa na kikosi maalum Cha makomandoo wasiopungua 4 hili lilikuwa pigo kuu kwa ccm na vibaraka wake maana yake CHADEMA imeanza kuungwa mkono na majeshi hii haikupendezwa na wahuni wa CCM.
Hauna elimu yoyote ya intellijensia, kwamba eti walinzi wakiwa Bukoba lazima uwe Bukoba? Sasa surveillance afanye nani?Maelezo yote ya nini- nataja kjibu Mbowe alikuwa wapi?
Huyo bwire ushahidi wake ndo utatupa mwanga, nini ni nini