Huu umalaya nilionao ni wa kawaida au nimerogwa?

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
5,824
Reaction score
14,757
As salaam alaykum

Moja kwa moja kwenye mada

Guys, nimezunguka nchi chache huko kwa wenzetu lakini sijapata kuona nchi imebarikiwa wanawake wenye kuvutia kama Tanzania ukitoa South Africa na Ethiopia πŸ™ŒπŸ½

Kwa hatua niliyofikia nais kama nimerogwa, kila mwanamke mzuri anaepita mbele yangu natamani kumfunua hata kama ni mtandaoni ntaimba nae mpaka nimlale ndo nafsi yangu itaridhika.

Nishafanya upuuzi mwingi sana na wanawake mpaka inafikia hatua najisemea moyoni sasa inatosha ila pisi ikipita mbele inaita tu tayari nasahau naitika bila kipingamizi. Idadi ya wanawake nlokwisha lala nao mpaka sasa ata yule Baltazar pengine haifikii

Jana nmetoka kulala na mchumba wa rafiki yangu sana tena wanategemea kufunga ndoa mwaka huu mwishoni namimi ni mwana kamati, nmefikiria nmeona sio kawaida na haijakaa sawa.

Sasa naomba kuuliza ni kawaida au nimerogwa? Wengine mliwezaje kuacha hii tabia au nioe pengine ntatulia?
 
Amini nakwambia, Kila aliyetaka kujigundua mapungufu yake na uovu wa matendo yake, na siku za kuishi kwake zilikuwa zimepungua mno kama si kuisha kabisa

Ushauri wa Bule,

Tubu na umrudie Mungu wako, la sivyo, utazikwa soon na utaishia pabaya

Rejea kwa baadhi ya waliotangulia baada tu ya kugundua ni wapi walifanya makosa, waliandika vijitabu kuelezea kile walikosea na baada ya muda mfupi, walipumzika/zikwa
 
Wewe ulipofikia hauhitaji msaada wowote ila Neema tu ya Mungu.

Utajikuta tu siku Moja unaanza ku-question Kila kitu kuhusu ngono na utaona everything is just a vanity.

Hatua uliyofikia ni kama mpiga nyeto tu..Kila siku ajipiga anasema Leo ni siku ya mwisho. Ila ikigeuka Siku akajikuta yupo chumbani pekeyake...Anastua kimoja.

Endelea tu,mkuu.
 
Kwa sababu Una pesa za kuchezea, siku zikiisha utaona kabisa hiyo Tabia itaondoka yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…