MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
- Thread starter
- #21
sasa namimi nikiandika mapema ivi si nitawahi kupumzika mkuu?Amini nakwambia, Kila aliyetaka kujigundua mapungufu yake na uovu wa matendo yake, na siku za kuishi kwake zilikuwa zimepungua mno kama si kuisha kabisa
Ushauri wa Bule,
Tubu na umrudie Mungu wako, la sivyo, utazikwa soon na utaishia pabaya
Rejea kwa baadhi ya waliotangulia baada tu ya kugundua ni wapi walifanya makosa, waliandika vijitabu kuelezea kile walikosea na baada ya muda mfupi, walipumzika/zikwa