Huu umalaya nilionao ni wa kawaida au nimerogwa?

Huu umalaya nilionao ni wa kawaida au nimerogwa?

kwanza huo sio ugonjwa ni tamaa tu unaweza kuacha siku ukipata sababu kubwa ya kuacha mfano mm niliacha nilipojua siku moja nitakufa warembo wote nitawaacha nikailazimisha akili kuamini kuwa siku nikitongoza wanawake nakufa mwisho now wanawake nawaona wa kawaida tu
Huu mwaka wa mwisho inshaallah
 
As salaam alaykum

Moja kwa moja kwenye mada

Guys, nimezunguka nchi chache huko kwa wenzetu lakini sijapata kuona nchi imebarikiwa wanawake wenye kuvutia kama Tanzania ukitoa South Africa na Ethiopia 🙌🏽

Kwa hatua niliyofikia nais kama nimerogwa, kila mwanamke mzuri anaepita mbele yangu natamani kumfunua hata kama ni mtandaoni ntaimba nae mpaka nimlale ndo nafsi yangu itaridhika.

Nishafanya upuuzi mwingi sana na wanawake mpaka inafikia hatua najisemea moyoni sasa inatosha ila pisi ikipita mbele inaita tu tayari nasahau naitika bila kipingamizi. Idadi ya wanawake nlokwisha lala nao mpaka sasa ata yule Baltazar pengine haifikii

Jana nmetoka kulala na mchumba wa rafiki yangu sana tena wanategemea kufunga ndoa mwaka huu mwishoni namimi ni mwana kamati, nmefikiria nmeona sio kawaida na haijakaa sawa.

Sasa naomba kuuliza ni kawaida au nimerogwa? Wengine mliwezaje kuacha hii tabia au nioe pengine ntatulia?
"Kuna muda naweka malengo ,nikizipata nimiliki mjengo ,ila pisi hizo pisi hizo nikiziona moyo unadunda tena".---#Bomboclat
 
Wewe ulipofikia hauhitaji msaada wowote ila Neema tu ya Mungu.

Utajikuta tu siku Moja unaanza ku-question Kila kitu kuhusu ngono na utaona everything is just a vanity.

Hatua uliyofikia ni kama mpiga nyeto tu..Kila siku ajipiga anasema Leo ni siku ya mwisho. Ila ikigeuka Siku akajikuta yupo chumbani pekeyake...Anastua kimoja.

Endelea tu,mkuu.
Acha umalaya fedha za udalali wa simu zitumie vizuri kuna maggonjwa na maisha baadaye.
 
Anza kwa kutubu kwa kutafuta njia yoyote ile rafiki yako asimuoe huyo mchumba wake uliye lala naye.Hapo utakuwa umeanza kutubu makosa yako.
 
Anza kwa kutubu kwa kutafuta njia yoyote ile rafiki yako asimuoe huyo mchumba wake uliye lala naye.Hapo utakuwa umeanza kutubu makosa yako.
Asimuoe kwann wkt anampenda mkuu? Nina dhambi kibao kwenye suala la kungonoka iyo ni ndogo sana sitoweza kutubu zote.
 
HAIPO KAWAIDA
UNAJUA KABISA HAUPO SAWA
WE UNAONA NI SAWA?
 
Sina mali za urithi mkuu ila natumia akili nyingi sana kutafuta pesa na lengo kuu ni kula bata.
Basi ushauri,tafuta mwanamke mzuri uliyeridhika naye hasa kimaumbile ya ngono muoe ishi naye mpende muheshimu jenga familia.

Utaacha au kupunguza,vinginevyo husaidiki.
 
Back
Top Bottom