Huu umalaya nilionao ni wa kawaida au nimerogwa?

As salaam alaykum

Moja kwa moja kwenye mada

Guys, nimezunguka nchi chache huko kwa wenzetu lakini sijapata kuona nchi imebarikiwa wanawake wenye kuvutia kama Tanzania ukitoa South Africa na Ethiopia 🙌🏽

Kwa hatua niliyofikia nais kama nimerogwa, kila mwanamke mzuri anaepita mbele yangu natamani kumfunua hata kama ni mtandaoni ntaimba nae mpaka nimlale ndo nafsi yangu itaridhika.

Nishafanya upuuzi mwingi sana na wanawake mpaka inafikia hatua najisemea moyoni sasa inatosha ila pisi ikipita mbele inaita tu tayari nasahau naitika bila kipingamizi. Idadi ya wanawake nlokwisha lala nao mpaka sasa ata yule Baltazar pengine haifikii

Jana nmetoka kulala na mchumba wa rafiki yangu sana tena wanategemea kufunga ndoa mwaka huu mwishoni namimi ni mwana kamati, nmefikiria nmeona sio kawaida na haijakaa sawa.

Sasa naomba kuuliza ni kawaida au nimerogwa? Wengine mliwezaje kuacha hii tabia au nioe pengine ntatulia?
Utaweza kuvumilia kugongewa wakwako yaani mke wako mtalajiwa mana umekula mke wa jamaa yako.

Siunajua karma haichekeshi Mzee.

Mimi nilikuwa na ugwanjwa kama wako ila Hela ilivyokata nikapona huo ugonjwa.

Tumia Hela vizuri kwajili ya uzee wako kiafya Mzee.

Wazulu
Waxhosa
Wasuthu
Waswana
Wazimzim
Nilipita na hizo pisi lakini nikagundua kibunda ndio kinanipa Huu ugonjwa.
 
Asante kwa experience yako mkuu, hii ishu nimeanza kitambo sana kabla hata sijaanza kuzishika. Najua kuishiwa hela kupo lakini najitaidi sana kuipiga vita na silaha kalikali.
 
Nimekwambia Mimi nikiona pisi Kali lakini nikivuta picha vipocho na ule mstari mstari uliochorwa kwenye pochi natulia naona napoteza Muda Tu naamua kutulia.

Abadani huwezi kumaliza watoto wazuri.
Nilivutiwa na watoto wa 95 wakaja 2000 wakaja 2005 pisi Kali kabisa na miiliyao iliyoumbika lakini mwisho wa siku ni kama sijawahi kukutana nao kabisa kimwili Hao mademu wa age hizo.

Unajua nini Sisi wanaume tukishakula Malaya baada ya kukojoa Tu unasema kimoyomoyo naacha hizi mambo lakini badae ukikuta pisi Kali njiani mambo yanaanza upya.

Nini cha kufanya shinda Tamaa ya ngono Mzee wangu.

UKIACHA HISIA ZIKUENDESHE
KWA JUEULI UTAISHIA KUFELI.
FidQ wimbo unaitwa sumu
 
Nilipitia hiyo situation boss

kitu kimoja ukiwa Malaya inakuwa connected Sana na wanawake 😁

bi mkubwa aliniokoa baada ya kuniambia niache kupanga nirudi kuishi home

nikawa usy na ndondo tu
sasa mimi wa kuniokoa sioni kabisa mkuu, tukielezea apa jukwaani tunaonekana kama tumevurugwa na maisha
 
Bado kidogo mkuu upewe km c kuchukua tuzo yako ya umalayaa....

KUla maishaaaa
 
Nimekwambia Mimi nikiona pisi Kali lakini nikivuta picha vipocho na ule mstari mstari uliochorwa kwenye pochi natulia naona napoteza Muda Tu naamua kutulia.

Abadani huwezi kumaliza watoto wazuri.
Nilivutiwa na watoto wa 95 wakaja 2000 wakaja 2005 pisi Kali kabisa na miiliyao iliyoumbika lakini mwisho wa siku ni kama sijawahi kukutana nao kabisa kimwili Hao mademu wa age hizo.

Unajua nini Sisi wanaume tukishakula Malaya baada ya kukojoa Tu unasema kimoyomoyo naacha hizi mambo lakini badae ukikuta pisi Kali njiani mambo yanaanza upya.

Nini cha kufanya shinda Tamaa ya ngono Mzee wangu.

UKIACHA HISIA ZIKUENDESHE
KWA JUEULI UTAISHIA KUFELI.
FidQ wimbo unaitwa sumu
Umenena vyema mkuu, ntajitahidi 😬
 
Hali ya hatari hiyo mkuu jitafakari na fanya mabadiliko. Ilibaki kidogo nifikie hatua hiyo ila nikashtuka mapema nilijitathmini nikajiuliza hivi kuna siku hawa wanawake naowatamani wataisha? Jibu ni no na kwa asilimia kubwa mtafutaji ndie anaegharamika zaidi.

Hata mabadiliko ya kiuchumi ni makubwa sana ukipunguza kuendekeza tamaa.
 
Wewe umewazidi hata malaya. Halafu ni mrahisi sana, maharagwe ya mbeya moto wa mabox tu umeiva.
 
As salaam alaykum

Moja kwa moja kwenye mada

Guys, nimezunguka nchi chache huko kwa wenzetu lakini sijapata kuona nchi imebarikiwa wanawake wenye kuvutia kama Tanzania ukitoa South Africa na Ethiopia 🙌🏽

Kwa hatua niliyofikia nais kama nimerogwa, kila mwanamke mzuri anaepita mbele yangu natamani kumfunua hata kama ni mtandaoni ntaimba nae mpaka nimlale ndo nafsi yangu itaridhika.

Nishafanya upuuzi mwingi sana na wanawake mpaka inafikia hatua najisemea moyoni sasa inatosha ila pisi ikipita mbele inaita tu tayari nasahau naitika bila kipingamizi. Idadi ya wanawake nlokwisha lala nao mpaka sasa ata yule Baltazar pengine haifikii

Jana nmetoka kulala na mchumba wa rafiki yangu sana tena wanategemea kufunga ndoa mwaka huu mwishoni namimi ni mwana kamati, nmefikiria nmeona sio kawaida na haijakaa sawa.

Sasa naomba kuuliza ni kawaida au nimerogwa? Wengine mliwezaje kuacha hii tabia au nioe pengine ntatulia?
Wewe na umasikini ni pete na kidole unleds uwe na mali za urithi.
 
sasa mimi wa kuniokoa sioni kabisa mkuu, tukielezea apa jukwaani tunaonekana kama tumevurugwa na maisha
kwanza huo sio ugonjwa ni tamaa tu unaweza kuacha siku ukipata sababu kubwa ya kuacha mfano mm niliacha nilipojua siku moja nitakufa warembo wote nitawaacha nikailazimisha akili kuamini kuwa siku nikitongoza wanawake nakufa mwisho now wanawake nawaona wa kawaida tu
 
Back
Top Bottom