MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
- Thread starter
-
- #21
sasa namimi nikiandika mapema ivi si nitawahi kupumzika mkuu?Amini nakwambia, Kila aliyetaka kujigundua mapungufu yake na uovu wa matendo yake, na siku za kuishi kwake zilikuwa zimepungua mno kama si kuisha kabisa
Ushauri wa Bule,
Tubu na umrudie Mungu wako, la sivyo, utazikwa soon na utaishia pabaya
Rejea kwa baadhi ya waliotangulia baada tu ya kugundua ni wapi walifanya makosa, waliandika vijitabu kuelezea kile walikosea na baada ya muda mfupi, walipumzika/zikwa
Hiki ukichokiandika kwa hatua aliyofikia ni kama kumshauri ndugu yako mwizi aliyekubuhu kwa kumwambia "ukiendelea na tabia ya kuwaibia watu utachomwa moto"Amini nakwambia, Kila aliyetaka kujigundua mapungufu yake na uovu wa matendo yake, na siku za kuishi kwake zilikuwa zimepungua mno kama si kuisha kabisa
Ushauri wa Bule,
Tubu na umrudie Mungu wako, la sivyo, utazikwa soon na utaishia pabaya
Rejea kwa baadhi ya waliotangulia baada tu ya kugundua ni wapi walifanya makosa, waliandika vijitabu kuelezea kile walikosea na baada ya muda mfupi, walipumzika/zikwa
Mkuu, tafuta hela. Uwe na wakati mwemaIla muda wa kukaa chini kujipanga uje udanganye watu wazima na familia zao umepata sio?
Dick driven Boy,Sasa naomba kuuliza ni kawaida au nimerogwa? Wengine mliwezaje kuacha hii tabia au nioe pengine ntatulia?
Hii habari Imeingiaje hapaLeo tena muda si mrefu kwenye harakati izoizo nmepoteza wallet yangu ilikua na 1000$ pamoja 170,000/= za kitanzania kwenye mazingira ambayo siyaelewi nais ni dem kaificha.
Wanawake wanajipigia hela Sana kwa Wanaume kama hawa, wakati wewe unajidai idadi uliyowalala wao wanajenga, wanaanzisha biasharaDick driven
Ulivyoandika vyooote sijaelewa mimi nimekuelewa hapa tu bwana Katibu wa Kamati ya Maandaalizi ya Harusi mtoto akizaliwa umefanana nae tutasikia umetutoka ghafla kwa maradhi yalikua yanakusumbua muda mrefu maradhi ya kutombatombaJana nmetoka kulala na mchumba wa rafiki yangu sana tena wanategemea kufunga ndoa mwaka huu mwishoni namimi ni mwana kamati, nmefikiria nmeona sio kawaida na haijakaa sawa.
Ila na wewe unakua ushajitombea vizuri tu and the rest is historyWanawake wanajipigia hela Sana kwa Wanaume kama hawa, wakati wewe unajidai idadi uliyowalala wao wanajenga, wanaanzisha biashara
kwaiyo mwanaume kutoa pesa kutombea pia ni kitu cha kuwaza? Kujenga kwao na kuanzisha kwao biashara mimi kunanihusu nini wkt nishamtomba?Wanawake wanajipigia hela Sana kwa Wanaume kama hawa, wakati wewe unajidai idadi uliyowalala wao wanajenga, wanaanzisha biashara
Vijana wamevurugwa, Yani humu mtu kama ana maisha magumu basi anais wote wapo kama yeye π€£π€£π€£ ambia vijana watafute pesaNilitaka kucomment lakini nilipopitia za waungwana nimecheka sana..!! πΉπΉπΉ
Sawa mkuuUmri wako ndio tatizo
Hicho ni kipaji mkuu tena ili uoneshe kipaji zaidi wafumue bila kinga uone kama watakataa, ukiona wanakubali ndio ushahidi wa kipaji chakoAs salaam alaykum
Moja kwa moja kwenye mada
Guys, nimezunguka nchi chache huko kwa wenzetu lakini sijapata kuona nchi imebarikiwa wanawake wenye kuvutia kama Tanzania ukitoa South Africa na Ethiopia ππ½
Kwa hatua niliyofikia nais kama nimerogwa, kila mwanamke mzuri anaepita mbele yangu natamani kumfunua hata kama ni mtandaoni ntaimba nae mpaka nimlale ndo nafsi yangu itaridhika.
Nishafanya upuuzi mwingi sana na wanawake mpaka inafikia hatua najisemea moyoni sasa inatosha ila pisi ikipita mbele inaita tu tayari nasahau naitika bila kipingamizi. Idadi ya wanawake nlokwisha lala nao mpaka sasa ata yule Baltazar pengine haifikii
Jana nmetoka kulala na mchumba wa rafiki yangu sana tena wanategemea kufunga ndoa mwaka huu mwishoni namimi ni mwana kamati, nmefikiria nmeona sio kawaida na haijakaa sawa.
Sasa naomba kuuliza ni kawaida au nimerogwa? Wengine mliwezaje kuacha hii tabia au nioe pengine ntatulia?
Kurogwa, umalaya, nimetembe nchi chache, nimepoteza 1000$ pamoja na 170,000/=.
Haiombwi hivyo mkuu
Huna control huna nidhamu. Control matamanio yako have some brakes else utaweka bleach uzeeniAs salaam alaykum