Huu umalaya nilionao ni wa kawaida au nimerogwa?

Huu mwaka wa mwisho inshaallah
 
"Kuna muda naweka malengo ,nikizipata nimiliki mjengo ,ila pisi hizo pisi hizo nikiziona moyo unadunda tena".---#Bomboclat
 
Acha umalaya fedha za udalali wa simu zitumie vizuri kuna maggonjwa na maisha baadaye.
 
Anza kwa kutubu kwa kutafuta njia yoyote ile rafiki yako asimuoe huyo mchumba wake uliye lala naye.Hapo utakuwa umeanza kutubu makosa yako.
 
Anza kwa kutubu kwa kutafuta njia yoyote ile rafiki yako asimuoe huyo mchumba wake uliye lala naye.Hapo utakuwa umeanza kutubu makosa yako.
Asimuoe kwann wkt anampenda mkuu? Nina dhambi kibao kwenye suala la kungonoka iyo ni ndogo sana sitoweza kutubu zote.
 
HAIPO KAWAIDA
UNAJUA KABISA HAUPO SAWA
WE UNAONA NI SAWA?
 
Sina mali za urithi mkuu ila natumia akili nyingi sana kutafuta pesa na lengo kuu ni kula bata.
Basi ushauri,tafuta mwanamke mzuri uliyeridhika naye hasa kimaumbile ya ngono muoe ishi naye mpende muheshimu jenga familia.

Utaacha au kupunguza,vinginevyo husaidiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…