Huu umaskini ni wa kutisha

Sidhani kama hapa, tunaongelea utajiri.

Hapa issue ni kumudu gharama za kawaida za maisha.
 
Matajiri wakirudisha mitano yao baada ya maongezi na utawala mpya wa Mama Samia Suluhu kazi zitafumuka Dar na Tanzania nzima

Bata vibarua watapiga kazi Watanzania waliodhulumiwa mitaji yao Huu ndio muda muafaka wa kulipwa fidia zao

Wale waliokuwa na maduka ya kubadilishia fedha za kigeni nao warudishwe mchongo wao kiroho safi

DPP afikishwe kizimbani ndani ya siku 100 za Mama
 
Anapata pesa ya culera lakini sio ya kununua kitanda!!! kupanga ni kuchagua
Tema mate chini mjomba ili ya kaisari yabaki kuwa ya kaisari, huyo dingi umeambiwa ni mlevi wa kutupwa so hana msaada wowote kwenye familia isipokuwa ni baba wa ki bayalojia ila mama ndio kila kitu hapo. Kulewa analewa hata gongo au kitoko na walevi wenzie.
 
Mkuu hao watu wapo hapa Dar au ili msaada ukitokea tuwakumbuke siunajua Rahisi wao kaenda.
 
Safi kbs...ulitoka kwenye comfort zone...yaan nikionaga mkaka analalamika life gumu napataga hasira...nyie mna chances sana za kwenda popote pale dunian hapa ..yaan mie ningekuwa me kwakweli ningekua sijui wapi muda huu! Nyie mna raha sana...wanawake kuna vitu vingi sana vinatukwamisha .tunapiga sana marktime
 
ulipiga mchongo gani mzee?
 


Duh..kwakweli ukiomba kwa nia thabiti Mwenyezj Mungu hakawii kujibu ..hebu ona wewe ulitaman kula hata mhogo tu ukaupata!usirudi nyuma..kaza...pambana na changamoto...
 
Hapo bado huyu ukute ndio mwenye nafuu huko kwao.

Tz kuna haya makundi

1. Matajiri
2. Uchumi wa kati
3. Watumishi
4. Wanyonge
5. Masikini
6. Fukara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…